Kama sikosei ilikuwa ni msimu wa mwaka 2012, hatua ya mtoano ktk UEFA, kama sio mtoano basi Robo.
AC Milan akapangwa na Barca, Game ya kwanza San Siro Milan akashinda 2 - 0 wakafurahi sana. Sasa ile furaha ya kule Italy si ikaamia huku JF.
Gang Chomba akawa anatoa misemo balaa, huyu jamaa natamani siku nimuone. kuna baadhi ya misemo yake na vituko navikumbuka mfano:-
1. AC Milan ni kama maji, usipoyaoga, utaogeshwa ukifa.
2. AC Milan ikitolewa na Barca najing'ata mgongoni
3....
Sasa tangu Milan aende Camp Nou na akapigwa 4 - 0 ndo ikawa mwisho wake wa kuingia mara kwa mara humu ndani. Huku Lionel Messi asiempenda akapiga magoli ya hatari, ikiwemo lile goli la mapena sana la kwanza.
Wale wanaojua misemo ya Gang Chomba na kuikumbuka jazilizieni namba 3 na kuendelea.