Alikuwa anakuja na headlines za magazeti ya kitaliano kama gazzeti del sport, Tutto sport corriero del serra na mengine. Kwanza mwambieni hii I'd yake ya shifta haina ladha kama ile chomba.
Kama sikosei ilikuwa ni msimu wa mwaka 2012, hatua ya mtoano ktk UEFA, kama sio mtoano basi Robo.
AC Milan akapangwa na Barca, Game ya kwanza San Siro Milan akashinda 2 - 0 wakafurahi sana. Sasa ile furaha ya kule Italy si ikaamia huku JF.
Gang Chomba akawa anatoa misemo balaa, huyu jamaa natamani siku nimuone. kuna baadhi ya misemo yake na vituko navikumbuka mfano:-
1. AC Milan ni kama maji, usipoyaoga, utaogeshwa ukifa.
2. AC Milan ikitolewa na Barca najing'ata mgongoni
3....
Sasa tangu Milan aende Camp Nou na akapigwa 4 - 0 ndo ikawa mwisho wake wa kuingia mara kwa mara humu ndani. Huku Lionel Messi asiempenda akapiga magoli ya hatari, ikiwemo lile goli la mapena sana la kwanza.
Wale wanaojua misemo ya Gang Chomba na kuikumbuka jazilizieni namba 3 na kuendelea.

uno a zero...
jeremy menez
Utakufa kwa presha wewe na hii Milan yako lumbilumbi
Hata mbuzi some time anang'ata.
Thai Businessman
Closing In On AC
Milan Minority Stake
Thai businessman Bee Taechaubol is
reportedly closing in on purchasing
a minority stake in AC Milan.
Rossoneri fan group Curva Sud
released a statement on Friday
urging fellow fans to boycott going
to the stadium and avoid buying
merchandise, in addition to
displaying banners protesting
against longtime president Silvio
Berlusconis management of the
club in the 3-1 win over Cagliari on
Saturday night.
According to La Repubblica,
Taechaubols consultants are
already analysing the clubs
financial accounts in order to
determine the actual value of the
club, which Berlusconi claims is
around 980 million.
Miongoni mwa mashabiki ninaowahusudu kwa mahaba yao na kutoikatia tamaa timu yao ni hawa SALUTE kwenu nyie ni washabiki wa ukweli hii kutoka moyoni mwangu kwa history ya AC sio timu ya kitoto achilia mbali magwiji walopita hapo. Ila baresi nguzo ya chuma atabaki ni mtu niliekuwa namkubali hapo.
Habari za aibu hizi, Milan ilitakiwa kuwa global brand sambamba na kina Madrid, Barca, Manchester na Bayern, hivi hata Inter si imenunuliwa na haohao wavimba macho, wako wapi na Mancini wao?
Weka picha za juzi ndani ya Gussepe Meazza kulivyopwaya kama pagaleni, sijui hata hao wawekezaji wanakuja kuwekeza nini