Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
- Thread starter
-
- #1,741
Kiongozi kwenye soka sikatai kadi nyekundu inaweza kuchangia lakini si kwa kuruhusu magoli mengi.
Uefa Champions League msimu 2011/2012 Chelsea walikuwa pungufu nusu fainali ugenini(Camp Nou) unakumbuka maajabu aliyoyafanya Torres kuipa Chelsea tiketi ya kuingia fainali?
Msimu huu unakumbuka PSG walikuwa pungufu Ibrahimovic mapema alipewa kadi nyekundu walipokutana na Chelsea pamoja na hayo umeona PSG walivyojitahidi kusawazisha walipotanguliwa goli moja huku wakiwa pungufu?
Labda mipango ya Filippo Inzhagi sio mizuri kama damu changa sasa hivi damu changa ni nyingi tofauti na ile AC Milan tuliokuwa tunasema ina wazee wengi lakini ilikuwa inafanya vizuri kiasi kwamba tulikuwa tukiiona AC Milan Champions League mara kwa maramkuu tazama PSG ya sasa kisha tazama AC Milan ya sasa then jibu utalipata
mwambie hivi " Napoli alitafuna pombe hakumtafuna Mlevi" Maana Milan walikuwa 10 tangu dakika ya 1
Ni kweli lakini jahazi linapozama sana ujue usalama unakuwa mdogo mno.
Naweza sema pamoja ya kuwa Inter nao hawako vizuri msimu huu ila nyinyi jahazi lenu linaenda mrama sana.
Kwa kweli kipindi cha kwanza mlijitahidi sana pamoja ya kuwa mlikuwa pungufu hamkuruhusu goli ila mlipoingia kipindi cha pili mliporuhusu goli la kwanza ndipo mambo yote yalipovurugika, yakawa yanaingia kama mvua
Labda msimu unaokuja watajipanga, tuwavumilie.bado mwaka mmoja Milan ashuke daraja.
mkuu tazama PSG ya sasa kisha tazama AC Milan ya sasa then jibu utalipata
Labda msimu unaokuja watajipanga, tuwavumilie.
Vinginevyo wasipojipanga wanaenda serie B msimu ujao
Sijui tatizo wapi!msimu ujao ataponea chupuchupu, utakaokuja tena ndo safari ya kushuka daraja.
mbona hata PSG walicheza 10 wakiwa away na hawakupigwa 3. Milan hata mkipangwa 13 bado mnapigwa tuu.
uwe na adabu sasa...
Achana na watoto, njoo kwa Majuventini tumuadabishe fake Ronaldo na vijamaa vyake