Home of AC Milan, Official Thread

Ukiwauliza hao Vidole juu PNC na mwenzake Alyen kuwa wanamfahamu kivipi Fundi huyu Manuel Rui Costa hawatakupa jibu kamwe wataishia kukutajia ratiba za khanga moko na kibao kata.

unamzungumzia Costa a.k.a THE MAESTRO ambaye alidumu acmilan kwa miaka sita akifunga magoli manne(4) ha ha ha ha tena kacheza mechi 124 na alisajiliwa kwa dau la kuvunja rekod ya timu na alikuwa si lolote ndio mana kaka alikuja kumweka benchi tena mechi yake ya mwisho timu ya taifa alishindwa isaidia Ureno vs Greek alichezea kichapo cha moja bila na ugiriki kuwa mabingwa
 
Embu niangalie vizuri,mimi naweza kuwa looser side?siku zote nipo upande wa mabingwa wanaojua na kuufahamu mpira.

ha ha ha ha asante kwa kuiama timu ila vp kuhusu Costa mimi na Aleyn bado hatumjui maana umesoma nilivyokujibu ila umejfanya kama hujaona
 
Embu niangalie vizuri,mimi naweza kuwa looser side?siku zote nipo upande wa mabingwa wanaojua na kuufahamu mpira.

pole legend wangu, naona vijana kufika final CL imekua nongwa, wamekuandama kweli kweli.
***YATAKWISHA TU**
 
zama zake zimeisha hana jipya atabaki na story

kaka yako aleyn kaja kule kwangu kaniletea mapicha ya ajabu ajabu hataa siyaelewi, mwambie dawa yake ipo jikoni
 


milan paying a reported £30 million for the player. In doing so, Costa became Milan's most expensive transfer of all-time. Costa played five seasons in Milan, where he won one Serie A title, one Italian Cup, one Italian Super Cup , one
UEFA Champions League , and one
European Super Cup
 
ha ha ha ha asante kwa kuiama timu ila vp kuhusu Costa mimi na Aleyn bado hatumjui maana umesoma nilivyokujibu ila umejfanya kama hujaona


striker kama Inzaghi akiwa kwenye kiwango chake cha ubora. kutokwa na machozi si kitu cha kawaida...
sasa Pipo alitokwa na chozi baada ya Rui Costa kuondoka Milan.
 


Rui Costa alituambia tusilie coz kila kitu amemuachia Kaka'
 
Rui Costa appeared in Nike commercials. In 1996, he starred in a Nike commercial titled "Good vs Evil" in a gladiatorial game set in a Roman amphitheatre. Appearing alongside football players from around the world, including Ronaldo, Paolo Maldini, Eric Cantona, Luís Figo and
Patrick Kluivert , they defend "the beautiful game " against a team of demonic warriors, before it culminates with Cantona striking the ball and destroying evil.
 
mkuu naomba muache kaka frank apumzike kidogo, apate hata muda wa kunywa maji

Mkuu Herrera unadhani hawa waimba mipasho wananinyima pumzi?wewe waache wabwabwaje lakini baada ya kujua mpira sio kwasakwasa watakaa tuu.
 
ha ha ha ha asante kwa kuiama timu ila vp kuhusu Costa mimi na Aleyn bado hatumjui maana umesoma nilivyokujibu ila umejfanya kama hujaona

Mkuu PNC 1 nitake radhi asilani,timu ni kama kabila au ngozi ya mwili wa Binadamu hauwezi kuibadili au kuhama kwa vyovyote vile. Sijawahi kuhama timu hata siku moja nitakuwa na Milan yangu kwenye shida na raha.
 
zama zake zimeisha hana jipya atabaki na story

Yaani nyie Vijana mlioanza kuangalia mpira wakati huu wa Messi mnashida sana,kwa akili yenu mnadhani mpira ni sawa na Siasa kuwa mtu akishapotea kwenye Siasa ndio basi tena hafufuki tena?Mpira haupo hivyo Vijana una kupanda na kushuka,unafahamu kuwa hii Barca unayoishangalia wewe leo hii kuwa ulipotea kwenye anga la kimataifa kuanzia mwaka 1994 baada ya kupigwa 4 bila na Milan kwenye fainali ya UEFA mpaka pale Nabii na Mtume wa mwisho kwenye Soka alipotua ndio akairudisha kwenye chati?. Na enzi hizo timu iliyokuwa inatamba ni Ajax Armstedam,leo hii Ajax ipo wapi?
 
ilipotea kabsa UEFA au la liga?
 
Mkuu PNC 1 nitake radhi asilani,timu ni kama kabila au ngozi ya mwili wa Binadamu hauwezi kuibadili au kuhama kwa vyovyote vile. Sijawahi kuhama timu hata siku moja nitakuwa na Milan yangu kwenye shida na raha.

Mkuu niko tayar kukutaka radhi endapo nilikuita mshabiki wa Arsenal kimakosa ila nipe mda wa kuona kat ya mm na wewe aliyeanza kujiita.mshabiki wa arsenal ni nani NARUDI update Tafta uzi unaoitwa MTU HUYU EDDO KUMWEMBE page namba 3 umejiita wewe mshabiki wa Arsenal nimepiga screenshot sema kuatach nimeshindwa NATANGULIZA SHUKRANI KWAKO MKIMBIZI
 
Hajawahi kumuona huyo,na sidhani kama anafahamu alikuwa anacheza namba ngapi,huyo muulize habari za Messi,Iniesta,Xavi na wakina Dan Alves basi.
Mkuu huyo jamaa hamna lolote labda nikujulishe tena kuwa alisajiliwa Acmilan kwa pesa nyingi sana kipindi hiko hadi akaweka rekod klabuni kwake na alikuwa namba 10 kichekesho ni kuwa kakaa acmilan miaka mitano kacheza mechi 124 alfu akafunga goli 4
et ndio namba 10 huyo mpaka wakaamua kumrudisha Benfika sasa sipendi unitajie magarasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…