PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,106
- 14,353
Ukiwauliza hao Vidole juu PNC na mwenzake Alyen kuwa wanamfahamu kivipi Fundi huyu Manuel Rui Costa hawatakupa jibu kamwe wataishia kukutajia ratiba za khanga moko na kibao kata.
unamzungumzia Costa a.k.a THE MAESTRO ambaye alidumu acmilan kwa miaka sita akifunga magoli manne(4) ha ha ha ha tena kacheza mechi 124 na alisajiliwa kwa dau la kuvunja rekod ya timu na alikuwa si lolote ndio mana kaka alikuja kumweka benchi tena mechi yake ya mwisho timu ya taifa alishindwa isaidia Ureno vs Greek alichezea kichapo cha moja bila na ugiriki kuwa mabingwa