Home of AC Milan, Official Thread

Home of AC Milan, Official Thread

...juve2012 kasema vema, uchumi umechangia kushusha soka la italia. Kuanzia katikati ya miaka ya 80 mpaka mwisho wa miaka ya 90 soka la italia lilikuwa juu kuliko soka la nchi nyingine barani ulaya. Wachezaji wa aina ya Maradona, Gulit, van Busten, jean papin, Geogre Weah, na majina mengine makubwa, hawakuvutiwa na ligi nyingine za ulaya kila mmoja alipenda kuchezea vilabu vya italia.

Mkuu Mourinho, link nimejaribu kuitafuta sijaiona. Ila ilikuwa kama wiki mbili zilizopita. Jaribu unaweza kuiona.

Uchumi mkuu.Uchumi wa Italia umeshuka pamoja na sera mbovu za kibiashara za taasisi zinazosimamia soka ya Italia.

Spain na italy ipi ina uchumi mkubwa?? google
Italy uchumi wako upo juu kuliko Spain, na Spain haijawahi kuizid italy kiuchumi hata siku moja, sababu ya mpira wa Italy kushuka kwamba sababu ni uchumi ni uongo! soka la Italy limeshuka sababu ya kamari, wamiliki wa klabu ni madon wakubwa wa kamari, hii imechangia sana kuzidhoofisha timu zao, kuzilazimisha zipoteze mchezo ili wapige pesa.

what happened kama soka imeingiwa na kamari? wadhamini wanapungua, wanapotea watazamaji viwanjani, watazamaji wataendaje kuangalia match ambayo tayari matokeo yameshakuwa fixed?

France na Uingereza ipi ina uchumi mkubwa?? google
wapi soka lipo juu? kama sababu ni uchumi mbona Uingereza ipo juu kisoka kuliko France ilihali Uingerea wapo chini kuliko Ufaransa kiuchumi? hapa inakuja point ya wadhamini , soka la uingereza lina wadhamini wa kutosha offcoz thanks to their 3/4 of the world colonization and the english language and the power of their media,, hivyo timu zina pesa za kutosha kununua wachezaji na kuwalipa mishahara mizuri!

if soka kuwa juu ingekuwa ni sababu ni uchumi hakuna nchi ingekuwa inazifunga china na usa, na wao ndio wangekuwa mabingwa wa soka duniani, na Qatar isingeweza fungwa na Cameroun wakikutana kucheza mpira!
 
spain na italy ipi ina uchumi mkubwa?? google
italy uchumi wako upo juu kuliko spain, na spin haijawahi kuizid italy kiuchumi hata siku moja, sababu ya mpira wa span kushuka kwamba sababu ni uchumi ni uongo! soka la italy limeshuka sababu ya kamari, wamiliki wa klabu ni madon wakubwa wa kamari, hii imechangia sana kuzidhoofisha timu zao, kuzilazimisha zipoteze mchezo ili wapige pesa.

what happened kama soka imeingiwa na kamari? wadhamini wanapungua, wanapotea watazamaji viwanjani, watazamaji wataendaje kuangalia match ambayo tayari matokeo yameshakuwa fixed?

France na Uingereza ipi ina uchumi mkubwa?? google
wapi soka lipo juu? kama sababu ni uchumi mbona uingereza ipo juu kisoka kuliko france ilihali uingerea wapo chini kuliko ufaransa kiuchumi? hapa inakuja point ya wadhamini , soka la uingereza lina wadhamini wa kutosha offcoz thanks to their 3/4 of the world colonization and the english language and the power of their media,, hivyo timu zina pesa za kutosha kununua wachezaji na kuwalipa mishahara mizuri!

if soka kuwa juu ingekuwa ni sababu ni uchumi hakuna nchi ingekuwa inazifunga china na usa, na wao ndio wangekuwa mabingwa wa soka duniani, na Qatar isingeweza fungwa na Cameroun wakikutana kucheza mpira!

cc: juve2012 Mourinho na EMT
 
Last edited by a moderator:
Nadhani juve2012 ame-summarize vizuri hapo juu ingawa nilishawahi kutupia uchambuzi wa BBC World kwenye jukwaa la Bianconeri juu ya hili, ulikua ni uchambuzi ulioshiba vizuri sana, nitaitafuta ile post niilete tena hapa
Ulichotakiwa kufanya ni kuleta hiyo makala ya Goal.com au uweke hata link hapa Mkuu

Italian football counts cost of stagnation

Twenty years ago AC Milan beat Barcelona 4-0 in a Champions League final in Athens. At the time, Italy's premier football league, Serie A, was in its pomp, with Italian clubs winning the continent's top club trophy six times in a 12-year period. International stars flocked to play in Italy, and top matches were broadcast around the globe. Now Milan is the only Italian survivor in the last 16 of the Champions League, compared with four German, four English, and three Spanish clubs still in the competition. So why has Italian "calcio" dropped behind these other nations?

"There are many reasons, ranging from low match-day revenues and other lacklustre commercial revenue streams, to issues of corruption and fan violence," says Harry Philp, a football finance expert at London-based firm Portland Advisers. "This lack of commercial development means Italian clubs are falling behind their European counterparts. These issues are being exacerbated by wider economic problems in Italy."

Home comforts

Low match-day revenues are connected to the fact that most teams - with the exception of Juventus - are playing in outdated stadiums, which they do not own, and in front of declining attendances.

_73247601_73228323.jpg


Only Juventus have a truly modern purpose-built stadium

It means clubs cannot charge a range of different ticket prices, and there is little in the way of hospitality and corporate facilities on offer, or merchandise for sale. For example, English club Chelsea makes six times as much from match day revenues as AS Roma. According to the latest available figures from the Deloitte Sport Business Group, Serie A clubs' match-day revenue declined by 6m euros (3%) to 191m euros (£157m) in 2011-12, driven in part by a 7% fall in average league match attendances to 22,005.

But since moving into a new stadium in 2011, Juventus has seen its commercial revenues more than treble. "If other Italian clubs' stadia development plans come to fruition, new and improved commercial revenue streams will be opened up and their dependence on broadcast revenue will lessen," says Alex Thorpe, at Deloitte.

'Major TV role'

The Spartan match-day experience has seen many prefer to watch games on TV.

_73247602_73234072.jpg


Collective bargaining of TV rights gives the smaller Italian clubs a better deal

According to Deloitte, during season 2011-12 Inter Milan, Napoli, and Roma saw more than half of their revenues come from TV money, and for AC Milan and Juventus the figure was close to 50%. "Television plays a major role in the financing of Italian football, with clubs more reliant on money from TV than in other major European leagues," says Mr Philp, who has spent more than a decade working with Italian clubs. "The issue is one of diversifying revenue streams for clubs, to enable them to strengthen their financial position and develop their business model."

Until 2010 TV rights were sold by clubs on an individual rather than collective basis, something which exacerbated the financial gap between big clubs and smaller, and produced one-sided matches, which also depressed interest in Serie A. The latest TV deal, according to Italian reports, will from the 2015-16 season guarantee the league 980m euros a season for domestic and overseas rights - exceeding the 900m euros annual payment agency Infront guaranteed last time. But that number is still some way off what the English Premier League achieved in its latest deal cycle.

Clubs for sale?

Juventus and AC Milan did make it into positions nine and 10 in the latest Deloitte Football Money League. But Mr Philp points out that these clubs have also been fortunate over the years in being bankrolled by wealthy owners - a situation that may not continue.

_73247603_73234075.jpg


The purchases of Inter Milan and Roma show there is overseas interest in clubs.

Rivals Inter Milan and Roma have been bought respectively by an Indonesian consortium and a US-based sports capital group, - signs there is some overseas interest in investing in Italian clubs. And Mr Philp says such major investment is necessary for Italian clubs to develop commercially.

Title sponsor

As well as new stadiums, Mr Philp says, clubs need to establish new and smarter ticket-pricing strategies, introduce more and better corporate facilities, and develop wider commercial strategies. "This latter point could include targeting potential prime markets such as in East Asia, much as Premier League clubs have done, and introducing sponsorship segmentation and different sponsor tiers," he says.

_73249366_73234080.jpg


Napoli fans protest against a proposed anti-hooligan law.

"Clubs such as Roma and AC Milan are now looking to use marketing techniques, including social media, seen in the US and other parts of Europe. Serie A should also be looking for a title sponsor along the lines of the Barclays Premier League." Meanwhile it will be hoped that recurring flare-ups of football violence and racism are eradicated - both as social blights and as blocks to commercial progress.

"Sponsors are unwilling to get involved where issues of racism and violence are still commonplace," says Mr Philp. "Italian football has much to do to create an investable business model which could potentially allow Italian teams to compete at the highest levels in Europe again."

'Green shoots'

But it is not all gloom, says Mr Thorpe at Deloitte, adding that the Calciopoli scandal of 2006 has highlighted to clubs the importance of good corporate governance. And he points to overseas ventures such as the playing of the Italian Supercoppa (their Charity Shield) in Beijing in 2009, 2011 and 2012. There are hopes to take the event back to China this year.

"There is a realisation that clubs need to do something," he says. "The angle of decline is one you can't ignore, but there are green shoots there if you look at what Juventus has done, and what Roma and others are talking about on stadium development."

Source: BBC News - Italian football counts cost of stagnation
 
Spain na italy ipi ina uchumi mkubwa?? google
Italy uchumi wako upo juu kuliko Spain, na Spain haijawahi kuizid italy kiuchumi hata siku moja, sababu ya mpira wa Italy kushuka kwamba sababu ni uchumi ni uongo! soka la Italy limeshuka sababu ya kamari, wamiliki wa klabu ni madon wakubwa wa kamari, hii imechangia sana kuzidhoofisha timu zao, kuzilazimisha zipoteze mchezo ili wapige pesa.

what happened kama soka imeingiwa na kamari? wadhamini wanapungua, wanapotea watazamaji viwanjani, watazamaji wataendaje kuangalia match ambayo tayari matokeo yameshakuwa fixed?

France na Uingereza ipi ina uchumi mkubwa?? google
wapi soka lipo juu? kama sababu ni uchumi mbona Uingereza ipo juu kisoka kuliko France ilihali Uingerea wapo chini kuliko Ufaransa kiuchumi? hapa inakuja point ya wadhamini , soka la uingereza lina wadhamini wa kutosha offcoz thanks to their 3/4 of the world colonization and the english language and the power of their media,, hivyo timu zina pesa za kutosha kununua wachezaji na kuwalipa mishahara mizuri!

if soka kuwa juu ingekuwa ni sababu ni uchumi hakuna nchi ingekuwa inazifunga china na usa, na wao ndio wangekuwa mabingwa wa soka duniani, na Qatar isingeweza fungwa na Cameroun wakikutana kucheza mpira!

Mkuu uchumi wa ulaya na dunia yote umeyumba sana miaka ya hivi karibuni.

Sasa impact yake kwenye soka inategemea na sera za kimichezo za taifa husika na jinsi wanavyoziapply.

Combination ya vitu hivyo viwili,yaani kushuka uchumi na sera mbovu za usimamizi wa soka na hasa kibiashara ndio zimefanya tatizo kuwa kubwa Italia kuliko huko kwingine usemako.

Hilo usemalo ni sehemu ya matatizo ya usimamizi wa soka la Italia,kwa sababu watu wasingeweza kupindisha mambo kama kuna usimamizi mzuri,na mara hii kama usemavyo,skendo hiyo imeiumiza soka yao kwa sababu tayari kulikuwa na tatizo kuu la kiuchumi.

Pitia makala nyingi za wazungu wenyewe huko utaelewa ni vipi kuyumba kwa uchumi wa dunia,especially ulaya kumeleta matatizo katika management ya kibiashara ya soka,yamezungumzwa sana haya,naona uvivu kuyarudia tena hapa.

Sasa athari yake inategemea ni jinsi gani taifa husika limejiandaa kuhakikisha haliathiriki.

Italia haina sera nzuri za kumanage soka kibiashara,matokeo yake ndio haya,ukijumlisha kushuka uchumi na hayo usemayo,ndio sasa wanachungulia kaburi.

Kama gambling pekee ingekuwa ndio tatizo la soka yao,basi ingekuwa imeshakufa siku nyingi sana maana gambling haijaanza leo Italia,umafia kwenye soka yao upo siku nyingi sana,hebu chunguza mwaka 1980 ambao Milan na Lazio walishushwa daraja na Paolo Rossi kufungiwa miaka miwili kwa kashfa ya kupanga matokeo iliyojulikana kama "totonero 1980" na nyingine ya kuanzia 1984 hadi mwaka 1986 iliyoitwa "totonero bis" ambapo klabu kibao za ligi kuu hadi ligi za chini zilipewa adhabu.

Pamoja na scandal zote hizo,bado soka ya Italia miaka ya 80 hadi 90 ilikuwa moto wa kuotea mbali,hivyo hii calciopoli ya 2006 si sababu kubwa ya kushusha soka ya Italia bali imetokea wakati ambao tayari uchumi wa Italia unayumba na hivyo haya mambo mengine nayo yakawa makubwa na ya kuumiza tofauti na miaka ya nyuma.Hivyo uchumi umechangia hali kuwa worse zaidi.

China na US haziko level moja kisoka na Italia,Cameroun and the likes kwa sababu nchi hizo ziliwekeza kwenye soka miaka mingi sana iliyopita,tofauti na US au CHINA ambao wameanza kuwekeza kwenye soka miaka ya hivi karibuni.

Hata hivyo ukitazama mambo yaendavyo,kama yataendelea hivi,si ajabu mataifa hayo yakaonyesha jinsi nguvu ya uchumi inavyoweza kuleta mapinduzi kwenye soka,maana wanakuja vizuri sana,hasa US ambao wamewekeza sana.

Kuwa na uchumi mzuri ni faida,lakini inahitaji uwekezaji pia,kama mtu ana pesa ila hayuko interested kuwekeza kwenye soka,atabaki kuwa wa kawaida tu,na hata akiwekeza,atachukua miaka kuwafikia wale waliowekeza zamani,hii inatokana na other technical aspects of soccer,lakini bado uchumi mzuri ni silaha muhimu kwenye soka mkuu.Labda ushindwe mwenyewe kuitumia silaha hiyo.
 
Mbali na gambling, tofauti na italia, epl ambayo inasemwa ipo juu kwa sasa, inaonyeshwa muda mzuri. Serie A imepoteza watazamaji sehemu nyingi duniani kutokana na muda mbovu wanaocheza. Epl mara nyingi game ya mwisho inapigwa 17:30 BST. Na game ya kwanza mara nyingi ni 12:45 BST. Game nyingi za serie A zinachezwa kuanzia saa 3:30 kwa saa za hapa bongo. Kidogo siku za karibuni wameanza kuliona hilo, ambapo kuna game zinachezwa saa 15:00 BST. Spain nao hili wameliona. Hapa wanakabana koo na epl. Bado kuna mambo yakufanyiwa kazi ili soka la italia lirudie enzi zake.
 
Mbali na gambling, tofauti na italia, epl ambayo inasemwa ipo juu kwa sasa, inaonyeshwa muda mzuri. Serie A imepoteza watazamaji sehemu nyingi duniani kutokana na muda mbovu wanaocheza. Epl mara nyingi game ya mwisho inapigwa 17:30 BST. Na game ya kwanza mara nyingi ni 12:45 BST. Game nyingi za serie A zinachezwa kuanzia saa 3:30 kwa saa za hapa bongo. Kidogo siku za karibuni wameanza kuliona hilo, ambapo kuna game zinachezwa saa 15:00 BST. Spain nao hili wameliona. Hapa wanakabana koo na epl. Bado kuna mambo yakufanyiwa kazi ili soka la italia lirudie enzi zake.

Mkuu 072 kwan miaka ya 80 mpaka 90 soka la ital mech zilkuwa zinaonyeshwa mda gan?
 
Mkuu 072 kwan miaka ya 80 mpaka 90 soka la ital mech zilkuwa zinaonyeshwa mda gan?

bwana mdogo ifa96 kwa hapa africa hususani hapa bongo setilite tvs tumeanza kuona katikati ya miaka ya 90. Wenzetu mbele kule walikuwa tayari wameanza kuona kupitia setilite tvs. Kulikuwa na kipindi kikirushwa na bbc chanel 5 kikiitwa Europian Soccer Show, kiliwashika kweli watu wengi huko ulaya.

Kumbuka wakati huo karibia wakali wote walikuwa wakisukuma ngozi pale italia. Kwa uchache, Diego Maradona, Ruud Gullit, jean piere papin, Marco Van Busten, George Weah, mbali na wakali wa palepale italy wakiongozwa na kina Conte, Baresi, Costacuta, Maldini, Albetini, Carlo Ancelort, Baggio, Donatoni na msururu mreeeefuu.

Muda waliokuwa wakicheza siyo issue sana kwani muda wao na nchi nyingine za ulaya hauna tofauti kiviiile. Labda huko mashariki ya mbali.
 
Last edited by a moderator:
Wapi Gang Chomba? Naona taratibu "kamba itakata jiwe"

Ahsante Muntari thanks Honda kwa kumpa huyu jamaa faraja. 3 point mdogo mdogo mnasogea.

Milan 2 chievo 0
Cc: Gang Chomba
 
Last edited by a moderator:
Wazee wa Milano Gang Chomba, Belo and co. mnatoka hapa kwa Viola leo? Au ndio story za jogoo kabakwa bandani?
 
Last edited by a moderator:
Milan 1 Fiorentina 1.
Napoli 6 hela verona 2 Higuein akitia hat trick. Mareck Hamsik akipiga mawili na jose Callejon akitupia moja. Ushindi huu umepunguza pressure kwa Rafael Banitez. Mdogo mdogo tunakuja.
 
Milan 1 Fiorentina 1.
Napoli 6 hela verona 2 Higuein akitia hat trick. Mareck Hamsik akipiga mawili na jose Callejon akitupia moja. Ushindi huu umepunguza pressure kwa Rafael Banitez. Mdogo mdogo tunakuja.

Mnakuja wapi?
 
najua scudetto hatupati, ila top 4 lazima... Mimi namwanea huruma Gang Chomba na mwenzake Belo na milan yao.

Umeotea game juzi basi na top 4 ishakua yako mwanakwetu?!?!!
Anyway kila siku mwenzako naishiwa hamu ya soka la Italia, kuna mambo ya kipuuzi sana yanayoua soka na walioshika hatma ya kutuongoza ndio vilaza wakubwa, niponipo tu, yale maumivu nilikua napata siku hizo naona kama mwili umeyazoea au huyu msenghe Allegri kayapiga ganzi. juve2012 upo ndugu yangu?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom