Mourinho
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 4,619
- 2,327
Harafu Mourinho nasikia Milan akishinda Game zilizobaki anaweza kuingia top 3. Nimemsikia Manager wa Juventus akisema Milan akishinda Game zote zilizobaki ataomba Board ya Juventus waipatie kombe AC Milan.
Of coz maana wamepishana na mtu wa tatu kwa points 15, na wao wamebakiza games 6 ambazo ni sawa na 18points kama watashinda zote na team ya tatu (Roma) ifungwe zote
Allegri si anajua hawa viwete kushinda games zao zote zilizobaki ni sawa na mbwa kumzalisha simba, msimu mzima wameshinda games 10 tu, matches zao mbili zinazofuata ni Napoli halafu Roma, wenyewe wanajua hapo wataambulia kusema poo, halafu wana Sassuolo na Torino. Katika hizi points 12 wakikaza masaburi watapata points 2
Last edited by a moderator: