makombe?
hivi katika makombe ya kimataifa Barca na Milan ni timu ipi inayo makombe mengi?
Mimi naongelea soka la sasa siangalii historia, sitazami nyuma. Naangalia leo na kesho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
makombe?
hivi katika makombe ya kimataifa Barca na Milan ni timu ipi inayo makombe mengi?
kama kusajili mkuu mtabidi muanze na kipa mpaka 11 maana anayefaa kidooogo ni yule mwenye bwenzi kubwa aliyewaokoa juzi na torino wengine wote tupa kule
hata wangalikuwa 100 tutasajiri tu
makombe?
hivi katika makombe ya kimataifa Barca na Milan ni timu ipi inayo makombe mengi?
unaogopa kusema kwa jumla nani anamakombe mengi ulaya kati ya milan na barca Unajua utapata aibu yani wewe ulichobakia nacho cha kujivuna ni uefa tu kuchukua mara nyingi zaid ya hlo huna jipya
Wazoee hao, wanaona wivu kipindi ambacho wenzao tunabeba makombe wao hata UEFA hawashiriki.
Mimi naongelea soka la sasa siangalii historia, sitazami nyuma. Naangalia leo na kesho.
Former AC Milan and Fiorentina midfielder Rui Costa has ruled out a return to Serie A in any form. He retired from the professional game in 2008 while at Benfica.
NB: baada ya Nabii Dinho basi huwa anafuata huyu Dikteta.
utacheza fainali wakati hauna vigezo,poleni haya Ancellotti huyo anakuja mchukueni awaokoeilikuwa ni mechi ya Fainali ama?
C Milan vice president Adriano Galliani has once again fuelled speculation upon his arrival in Madrid that he is keen to bring back former head coach Carlo Ancelotti to the Rossoneri.
Yaani hata tusipocheza UEFA miaka kumi,hamuwezi kutufikia record yetu ya makombe tuliyochukua.