Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli kabisa forza grandpa of turino..
kesho j2 juventus ndio atakuwa bingwa rasmi serie A, nina uhakika huo maana najua inter anamchapa ac milan pale giusseppe meazza,hata shamba langu la kibada naweka dhamana kesho,forza juve unbeaten 36 games.
Gang Bin Chomba umepotelea wapi? Enhe tueleze jinsi historia ya kale ya Vilaza wa Milan ilivyowasaidia leo. Hahaaa!
Umeonaee! Jamaa zake historia tu wakati wenzake wanakamata ndoo!! Yaani leo Inter kashusha kisago cha nguvu sijui atajiteteaje!!!
teh teh teh,ni kicheko tu unbeaten 37 jumla 42 na ubingwa juu no other comments,karibu kaka,yaani ulipojificha hata mullah muhamad chaka lake cha mtotoJuzi mlidroo na Lecce mkaingia chini ya uvungu.
hivi hamjui kuwa tofauti ni pointi moja?
nimeangalia gemu ya juve, dk ya 17 melo akampiga mtu kiatu cha uso baada ya kuchezewa rafu. Refa akampa red card hapo ndio goli zikaanza kumiminika..jamaa huenda anavuta bange si bure yule hakyanani. Mdogo giovinco akapiga bao mbili safi na kuwasuta la vecchia signora kwa kumuuza.
Kutoka kwa Van Barsten, Gullit mpka Rhiijkard, tukaja kwa Kluivert na Edgar Davids, kisha kwa Seedorf, Stam na sasa ni zamu ya Holding Midfield...
kiungo mkabaji na mwenye uwezo wa kumiliki Mpira na kutoa pasi zenye Upako na anayeaminika kupiga mashuti Mark Van Bommel amewasiri klabuni Hapa na hivi punde ametoka kupewa jezi namba 4 na ametambulishwa rasmi kuwa ni mpambanaji mpya wa klabu ya AC Milan.
Forza Milan
milan 4 life...
one of the best quote ya msimu uliopita...
hongereni kwa ubingwa wapenzi, wafurukutwa, na washabiki wa LA VECCHIA SIGNORA.
Mlianza na Mungu na mnamaliza na Mungu.
Hatimaye mlinzi wa kutumainiwa wa AC Milan ametangaza kwamba atahama AC Milan bda ya msimu huu kuisha.Huenda wakongwe wengine Gennaro Gatuso na Fillipo Inzaghi nao wakahama mwishoni mwa msimu
Ila ni nini?4-2 sio mchezo
Ila ni nini?