Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
- Thread starter
- #8,801
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu refa wa jana ndio kaharibu kabisa game. Milan ilikua inapiga mpira mzuri tu 1st half, ila kadi ya njano ya pili ya Kessie (ilikua soft sana) ikatutoa kabisa mchezoni. Atletico sio timu ndogo, haishangazi kuona wametuelemea kipindi cha pili tukiwa pungufu. Ukiangalia ile penati yao yenyewe mpira ulianza kumgonga Lemar mkononi, kabla Kalulu hajaunawa ila refa kafunikaHii timu inakazi ya kufanya ili kufuzu hatua ya mtoano (16 bora) yaani kipindi cha kwanza imecheza mpira mzuri na kuongoza. Kipindi cha pili wachezaji wote wamekata moto wanashambuliwa mwanzo mwisho. Wakipata mpira wanajipigia tu ili mradi uende.
Ile penati iliniuma sana yaani pamoja na kutumia V.A.R lakini wameshindwa kugundua kama mpira ulianza kumgonga mkononi mchezaji wa AtleticoMkuu refa wa jana ndio kaharibu kabisa game. Milan ilikua inapiga mpira mzuri tu 1st half, ila kadi ya njano ya pili ya Kessie (ilikua soft sana) ikatutoa kabisa mchezoni. Atletico sio timu ndogo, haishangazi kuona wametuelemea kipindi cha pili tukiwa pungufu. Ukiangalia ile penati yao yenyewe mpira ulianza kumgonga Lemar mkononi, kabla Kalulu hajaunawa ila refa kafunika
Defeat ya jana ilikua harsh sana kiukweli, hatukustahili. Kwa jinsi group lilivyokaa inatakiwa tuchukue pointi 6 kwa Porto, ili kuwa na matumaini ya kusonga mbeleIle penati iliniuma sana yaani pamoja na kutumia V.A.R lakini wameshindwa kugundua kama mpira ulianza kumgonga mkononi mchezaji wa Atletico
Wakati huo tumuombee atletico apigwe mechi zote mbili na liverpoolDefeat ya jana ilikua harsh sana kiukweli, hatukustahili. Kwa jinsi group lilivyokaa inatakiwa tuchukue pointi 6 kwa Porto, ili kuwa na matumaini ya kusonga mbele
Sahihi kabisa mkuuWakati huo tumuombee atletico apigwe mechi zote mbili na liverpool