Mervin
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 1,914
- 2,630
Kwani mfumo wa home and away haupoo?Rasmi hatuna chetu tena champions league na Europa league msimu huu. Tujipange tu kwa msimu ujao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mfumo wa home and away haupoo?Rasmi hatuna chetu tena champions league na Europa league msimu huu. Tujipange tu kwa msimu ujao.
Mfumo wa home and away upo. Shida ni kwamba Ac milan itatakiwa kushinda game ya home dhidi ya Porto, na ya home dhidi ya Liverpool kisha anagemu ya away dhidi ya atletico Madrid ambako nako anatakiwa ashinde ili apate point tisa. Wakati huo huo ni kuombea atletico Madrid apigwe dhidi ya Liverpool apigwe tenaKwani mfumo wa home and away haupoo?
Yote yanawezekana ukiwa na imaniMfumo wa home and away upo. Shida ni kwamba Ac milan itatakiwa kushinda game ya home dhidi ya Porto, na ya home dhidi ya Liverpool kisha anagemu ya away dhidi ya atletico Madrid ambako nako anatakiwa ashinde ili apate point tisa. Wakati huo huo ni kuombea atletico Madrid apigwe dhidi ya Liverpool apigwe tena