SARRI NA LOTITO WACHARURANA LAZIO…
Sijafurahishwa na soko la uhamisho Dirisha kubwa uliofanywa na Viongozi wahuni wa Lazio kwa msimu huu.
Alipoulizwa kuhusu kipigo walicho pokea toka kwa Milan Sarri akawa ana hili la kusema:
Nilitoa majina mengi, kisha nikajeruhiwa baada ya viongozi wahuni kusema ndiyo na kuletwa kwa wachezaji tofauti.
Wachezaji niliotaka kulenga waje Klabuni hawakufika, kwa hivyo ninapaswa kufanya kazi na wachezaji wa hovyo.
Sio mara ya kwanza tumesikia mvutano huu wa uhamisho kutoka kwa klabu hiyo, nyuma mwezi Julai Bosi wa Lazio Claudio Lotito alisema:
Nilimwambia Sarri kutopendekeza majina kwangu, lakini anachopaswa ni kutaja nafasi alizohitaji kujazwa.
Ninachagua wachezaji, Nina majina yote katika kichwa changu, yeye asimamie mazoezi tu.