ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,767
- 6,575
Jukwaa la Barca limepotea kama harufu ya Ushuzi
teh teh teh..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jukwaa la Barca limepotea kama harufu ya Ushuzi
spain sio wa2 wa kupiga mayowe,ni vitendo tu,wewe unadhani ingekuwa England imebeba world cup au euro si ingekuwa mpk leo breaking news,fikiria toka 1966 mpk leo wanakumbushiaJukwaa la Barca limepotea kama harufu ya Ushuzi
spain sio wa2 wa kupiga mayowe,ni vitendo tu,wewe unadhani ingekuwa England imebeba world cup au euro si ingekuwa mpk leo breaking news,fikiria toka 1966 mpk leo wanakumbushia
huyo jamaa ameshastaafu? si alienda kucheza mpira brasil, ana uzoefu wowote wa kuwa manager/coachClarence Seedorf has pinpointed former teammate
Jaap Stam as the man he wants beside him if he
becomes the next coach of AC Milan.
siku ya leo ni siku ya furaha mno kwangu...
Una furaha baada ya kufungwa kwa mara nyingine na Sassuolo au kwa sababu tofauti yako na Bianconeri ni points 30? Au furaha yako inachangiwa na ukweli kuwa mmeshinda game 5 tu toka ligi ianze? Au kwa sababu unahisi msimu ujao mechi za jumanne na jumatano usiku hazitawashirikisha? Au kwa sababu mmeambiwa leo ni siku ya mapumziko?
Hata wewe msimu huu ulicheza Jumanne na Jumatano Usiku, je ulifanywa nini?
Na sasa hivi uko kwenye kinyang'anyiro?
Champions league ina wenyewe sheikh
Me natetea scudeto kwa mara ya tatu mfululizo sheikh, huko nilikotolewa nadhani hata wewe unajua ni swala la muda tu utafungasha virago.
Yakushinde mazoezi(Sassuolo) utaiweza mechi(ATL) weye?
Lakini bado hujajibu swali, kilichokufurahisha leo ni kipi? Ni kufungwa goli nne na kijamaa kimoja ambacho hata hakina namba kwenye U21?