Home of AC Milan, Official Thread

Home of AC Milan, Official Thread

Mkuu hapo red Unampika dongo kaka mkuu, story zake ni kusifia mafanikio yaliyopita. Utaskia ooh timu iliyopata mafanikio kuliko zote na story kibao. Milan kwa sasa ni sawa na jibwa kubwa lisilo na meno... Litamng'ata nani!?

Pweza una manenoo, hata huogopi wakubwa?
 
Seedorf appointed head coach of AC Milan

Clarence Seedorf has confirmed he will become the new head coach of AC Milan, and announced his retirement from playing after a 22 year career.

The move to appoint the 37-year-old Dutchman, who had a successful 10-year playing career at Milan but who has no coaching experience, is something of a gamble for the club, who sacked Massimiliano Allegri on Monday.

However, Seedorf is a hugely popular figure and would arrive with a deep bank of goodwill.

The midfielder was the first player to win the Champions League with three different clubs - Ajax Amsterdam in 1995, Real Madrid in 1998 and AC Milan in 2003 and 2007. He has also represented Inter Milan and Sampdoria.

The former Dutch international won two league titles and an Italian Cup to go with the two Champions League victories during his time at Milan, which also saw him awarded the UEFA Best Midfielder Award in 2007.

Milan are currently 11th in Serie A after squandering a two goal lead in a 4-3 defeat at promoted Sassuolo on Sunday night. That left them 30 points behind leaders Juventus and 20 points off the final Champions League berth occupied by Napoli.

After only five wins in 19 league games this season, Allegri was fired on Monday morning.

There has been sympathy for Allegri, who won the Serie A title in his first season at the club in 2010/11 but has since had to deal with the loss of Thiago Silva, Zlatan Ibrahimovic, Andrea Pirlo, Allesandro Nesta, Gennaro Gatusso and even Seedorf himself during a tough transitional period at the club.

Allegri guided Milan into the Champions League with a late Philippe Mexes goal on the last day of last season but they face a tough prospect in the round of 16 against high-flying Atletico Madrid.
 
“When you get an opportunity you have to take it.”
Seedorf will become the first Dutch to ever coach a
Serie A team and the 2nd black man to do so. Jaap
Stam and Hernan Crespo could join Seedorf’s
coaching staff next season. The idea is to get a
coach for each department so Stam would be the assistant (his current role at Ajax) and the
defenders coach, Seedorf head coach and
midfielders coach and Crespo would coach the
forwards. Mauro Tassotti will leave at the end of the
year.
 
Finally Seedorf kuiongoza timu yenye mafanikio zaidi hapa Ulimwenguni
 
Naona rossaneri mnazidi kufulia. Badala ya kutengeneza timu mnazidi kuibomoa. Hatimae Matri kahamia fiorentina kwa mkopo wa miezi 6.
Matri 29 aliyeifungia Milan goli 1 tu atatumiwa na viola mpaka mwisho wa msimu huu.
Cc: Gang Chomba
 
Last edited by a moderator:
Finally Seedorf kuiongoza timu yenye mafanikio zaidi hapa Ulimwenguni
Gang Chomba
Vp mkuu unazungumziaje Uteuzi wa Seedorf?? Je hakuna shaka kwa klabu YENYE MAFANIKIO DUNIANI Kuongozwa Na kocha asiyekuwa na hata mfano wa Uzoefu wa ukocha?

2) Vp suala la Usajili? Kuna hata tetesi zozote za wachezaji wa ukweli kuwasili Milan??
 
Last edited by a moderator:
Seedorf ni jembe. Kila nikiwanacheza mpira napenda sana kuiga ufundi wake.
 
Gang Chomba
Vp mkuu unazungumziaje Uteuzi wa Seedorf?? Je hakuna shaka kwa klabu YENYE MAFANIKIO DUNIANI Kuongozwa Na kocha asiyekuwa na hata mfano wa Uzoefu wa ukocha?

2) Vp suala la Usajili? Kuna hata tetesi zozote za wachezaji wa ukweli kuwasili Milan??

Guardiola,Conte hawakuwa na uzoefu lakini walipewa nafasi wakaaminiwa na baadae wakafanya vizuri
 
Last edited by a moderator:
Guardiola,Conte hawakuwa na uzoefu lakini walipewa nafasi wakaaminiwa na baadae wakafanya vizuri

Hapo kwa Conte naona Alikuwa na uzoefu wa kutosha kabla ya kufundisha Juve....Jaribu kufuatilia Career yake ya Ukocha....
Kwa Pep kupewa Barcelona ni tofauti na Seedorf kupewa Milan....
Pep alikuwa na timu ya Vijana ya Barcelona...na ilikuwa rahisi kwake kutoka na culture ya mpira wa Barcelona....
Huyu Seedorf wamemuokota Huko Botafogo akicheza mpira...hajawahi hata kufundisha timu ya Vijana ya Serie C1
 
Naona rossaneri mnazidi kufulia. Badala ya kutengeneza timu mnazidi kuibomoa. Hatimae Matri kahamia fiorentina kwa mkopo wa miezi 6.
Matri 29 aliyeifungia Milan goli 1 tu atatumiwa na viola mpaka mwisho wa msimu huu.
Cc: Gang Chomba

kanunuliwa euro 12m, kacheza mechi 14 na kufunga goli 1 tu.
akwende zake na asirudi pale.
Kwanza Pazini kapona, Petagna yupo, Robinho pia, Balo na Kaka ndo tumaini letu.
 
Last edited by a moderator:
Gang Chomba
Vp mkuu unazungumziaje Uteuzi wa Seedorf?? Je hakuna shaka kwa klabu YENYE MAFANIKIO DUNIANI Kuongozwa Na kocha asiyekuwa na hata mfano wa Uzoefu wa ukocha?

2) Vp suala la Usajili? Kuna hata tetesi zozote za wachezaji wa ukweli kuwasili Milan??

Seedorf amesomea ukocha.
Pia katika masomo yake hayo amepasi vizuri saana.
Kama hiyo haitoshi jamaa bado anavuja jasho, maana ndo katoka mchezoni, so atakuja na mbinu zake binafsi na ujuzi wake binafsi pia...so Pilau limepatiwa Kachumbari mixer Rost
 
Last edited by a moderator:
Guardiola,Conte hawakuwa na uzoefu lakini walipewa nafasi wakaaminiwa na baadae wakafanya vizuri

Safi sana Belo...
Maana waja wa Mola ndo wameshaanza vijimaneno hivyo.
 
Hapo kwa Conte naona Alikuwa na uzoefu wa kutosha kabla ya kufundisha Juve....Jaribu kufuatilia Career yake ya Ukocha....
Kwa Pep kupewa Barcelona ni tofauti na Seedorf kupewa Milan....
Pep alikuwa na timu ya Vijana ya Barcelona...na ilikuwa rahisi kwake kutoka na culture ya mpira wa Barcelona....
Huyu Seedorf wamemuokota Huko Botafogo akicheza mpira...hajawahi hata kufundisha timu ya Vijana ya Serie C1

mkuu kwanza naomba ufute kauli yako kuwa Seedorf kaokotwa sijui hukoooo Botafogo
..kisha ntaendelea
 
Hapo kwa Conte naona Alikuwa na uzoefu wa kutosha kabla ya kufundisha Juve....Jaribu kufuatilia Career yake ya Ukocha....
Kwa Pep kupewa Barcelona ni tofauti na Seedorf kupewa Milan....
Pep alikuwa na timu ya Vijana ya Barcelona...na ilikuwa rahisi kwake kutoka na culture ya mpira wa Barcelona....
Huyu Seedorf wamemuokota Huko Botafogo akicheza mpira...hajawahi hata kufundisha timu ya Vijana ya Serie C1

Ninachozungumzia ni kumwamini kocha na kumpa nafasi hasa mtu ambae ameichezea hiyo timu kwa mafanikio,Conte alifundisha timu nyingi za Serie B hakuwa na uzoefu wa kufundisha Serie A.

Hata Pep alifundisha Barca B msimu mmoja tu na wakati huo Barca ilikuwa timu kubwa sana kumpa Pep,Barca walimfanyia usaili Mourinho lakini management ilimuamini ikampa nafasi Pep
 
"When you get an opportunity you have to take it."
Seedorf will become the first Dutch to ever coach a
Serie A team and the 2nd black man to do so. Jaap
Stam and Hernan Crespo could join Seedorf's
coaching staff next season. The idea is to get a
coach for each department so Stam would be the assistant (his current role at Ajax) and the
defenders coach, Seedorf head coach and
midfielders coach and Crespo would coach the
forwards. Mauro Tassotti will leave at the end of the
year.

mweusi wa kwanza kukochi Serie A alikuwa nani? Naomba mnieleweshe.
 
Back
Top Bottom