Picha za ukutani kwa muda mrefu zimekuwa zikitumika kama njia ya kupendezea sebule au chumba kionekana na mvuto mzuri.
Picha hizi ni mavazi na mapambo ya kisasa
📌Picha Frem
📌Saa
📌Michoro
📌Vioo
📌Sticker
📌Nyungo na vinyago
👉🏽Chagua sanaa kwa ukubwa utakaotosha ukuta wako
Pambo ambalo ni kubwa sana litauzidi nguvu ukuta na lile
ambalo ni dogo sana litamezwa na ukuta.
Ni vizuri kuchagua pambo ambalo litaleta uwiano na
mahali unapotaka kulitundika. Pambo linapokuwa kubwa
ndivyo linavyohitaji ukuta mkubwa lakini likiwa dogc
kadhalika na ukuta uwe mdogo
👉🏽Vizuri kupima eneo unalotaka kutundika pambo na
kuacha nafasi ya kutosha kati ya moja na lingine ili
yasionekane kurundikana
👉🏽Chagua pambo ambalo linaendana na mandhari ya
chumba kwa kuangalia rangi kuu mbili ambazo
zimeshamiri (zinachomoza zaidi ya nyingine hata kama
haziko eneo kubwa) katika chumba na uchague pambo la
ukuta ambalo lina rangi hizo.
Kumbuka kuwa lengo sio saresare ila kuchagua pambo
lenye rangi moja kati ya rangi kuu chumbani inatoa
ujumbe kwamba hilo pambo linatakiwa kuwa katika
mazingira hayo linapendezesha na linahitajika.
Karibuni IG@dollrubii_decors
Tuna PICHA nzuri sana na WALLARTS classic bila kusahau FREE DELIVERY kwa Dar es salaam
👉🏾Posta Samora
Dsm Tunafanya delivery
Mikoani tunatuma
Call/whatsapp#0699306065
#dollrubiivyombo#dollrubiidecors #homedecor #homedocorations
#interiors #interiordesign #decor
#urembowanyumba
#vyombo#kitchensolution#vyombotz
#vyombovizuri #vyombovizuribeinzuri #vyomboclassics