Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duuu si lazima kupost jamni!hivi wadau naomba kufahamishwa kati ya mke wa kukaa nyumban na mke wa kufanya kazi(i mean kiofc zaid) yupi ni bora?mimi binafs napenda niwe na mke ambaye anafanya kazi tunasaidiana majukumu,sas kwenu wadau hili limekaaje..
duuu si lazima kupost jamni!
Taratibu jamaniPost wewe sasa ms***... Kwani kakosea nini hapo?? Sio lazima nawewe ukoment.
Taratibu jamani
duuu si lazima kupost jamni!
Tehe tehe tupe ushahidi Bujibuji.Usiombee mwanamke akuzidi kipato, atataka kukutawala hadi fikra zako
Mwanamke bora ni yule anayechangia pato la familia.
Hata UkiRIP familia haitetereki...
Mama wa nyumbani ni msala mwingine asee!
Mwanamke ni mwanamke awe na kazi au la akitaka kukufanyia uhuni anakufanyia tu,na pia swala la kusaidia kwa m/ke ni mara chache sana hela yake itaishia kwenye mavazi na urembo tu na sio kusaidia familia(sio wote)