Home wife vs job wife

Home wife vs job wife

Benny EM

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2011
Posts
488
Reaction score
349
hivi wadau naomba kufahamishwa kati ya mke wa kukaa nyumban na mke wa kufanya kazi(i mean kiofc zaid) yupi ni bora?mimi binafs napenda niwe na mke ambaye anafanya kazi tunasaidiana majukumu,sas kwenu wadau hili limekaaje..
 
Benny mdogo wangu Mapenzi hayachagui mfanyakazi, mama wa nyumbani, mhindi, mchina, mweusi, mfupi, mnene, mwembamba nk ingawa preferences huwa zipo. Wapo watu waliotamani kuoa/kuolewa na watu wenye muonekano fulani, lakini kabla ya kufikia malengo yao wakapigwa mweleka na mapenzi ya mtu mwenye wajihi/muonekano tofauti na kujikuta wanasahau hata kile walichokipanga awali.

Ni vizuri kuoa mke anayefanya kazi au anayejishughulisha na shughuli yeyote kuimkinga na kubaki nyumbani idle na kufanya umbea ingawa ni vzr zaidi sana kuwa na mke unayempenda kwa dhati ili kujikinga na kuwa na nyumba ndogo zisizo na tija kwako!
 
hivi wadau naomba kufahamishwa kati ya mke wa kukaa nyumban na mke wa kufanya kazi(i mean kiofc zaid) yupi ni bora?mimi binafs napenda niwe na mke ambaye anafanya kazi tunasaidiana majukumu,sas kwenu wadau hili limekaaje..
duuu si lazima kupost jamni!
 
duuu si lazima kupost jamni!


wew unachojua zaid ni kip mpka useme si lazma kupost?alafu watu wenginee mnakera kishenzi....kuna aliye kutuma kupitia hii thread?unaonekana kabis una hata mchang kweny jamii yako inaypkuzungka hapo ulipo,jipange kaka hii dunia ina mamb mengi sana.
 
huyo ni form 6 leaver hajayaona na hajajua maana ya kuoa ama kuolewa,msameheni bure.msimuhukumu maana hajui afanywalo huko aliko
 
wote mi naona sawa kwani wa nyumbani(ambaye hajaajiriwa) anaweza kukusaidia kufuatilia miradi mingine ya kuingiza kipato
 
What is needed ni true love! Unaweza kumpata wa kufanya kazi akawa mnafik wa mapenzi and viceversa!
 
Mwanamke bora ni yule anayechangia pato la familia.

Hata UkiRIP familia haitetereki...

Mama wa nyumbani ni msala mwingine asee!
 
Cha maana katika ndoa ni mawalewano na sio aina ya kazi anayofanya mtu. Hata huyo home wife unaweza kuanzisha mradi akasimamia na makendelea vizuri tu kuliko wote kutegema kuajiriwa. Hii inawapa usalama zaidi kuliko wote wawili kufungwa na kazi za ofisini muda wote.
 
Mwanamke ni mwanamke awe na kazi au la akitaka kukufanyia uhuni anakufanyia tu,na pia swala la kusaidia kwa m/ke ni mara chache sana hela yake itaishia kwenye mavazi na urembo tu na sio kusaidia familia(sio wote)
 
Mwanamke bora ni yule anayechangia pato la familia.

Hata UkiRIP familia haitetereki...

Mama wa nyumbani ni msala mwingine asee!

Hakuna mtu anayeitwa Mama wa nyumbani, bali ni wewe tu kama utapenda iwe hivyo. Baada ya kuoana unatakiwa kumwanzishia kitu asimamie na kujishughulisha, mfungulie hata Genge ili aone machungu na ugumu wa kutafuta pesa. Kosa ambalo watu wanafanya pale anapoa na kushika hatamu zote za utafutaji wa pesa katika familia, wakati mother house akibaki ktumia tu!!! Kwa maana hiyo hajui machungu ya utafutaji wa pesa, kwamba kuna siku unakosa na kuna siku unapata. Hata kama una ajira ya kudumu, kuna siku mshahara unachlewa, ukiupata unaishia tarehe 15. Ukweli ni kwamba kama mmoja wa familia ndiye mtafutaji mkuu, mwenzake anakuwa hajui ugumu wa kupata hiyo pesa- taa za umeme zinawaka mpaka saa 4 asubuhi, maji ya bomba kama yako ndani yakifunguliwa hayafungwi, chakula kitapikwa zaidi ya walaji ili wajirani waone kuwa tunazo.
 
Mwanamke ni mwanamke awe na kazi au la akitaka kukufanyia uhuni anakufanyia tu,na pia swala la kusaidia kwa m/ke ni mara chache sana hela yake itaishia kwenye mavazi na urembo tu na sio kusaidia familia(sio wote)

Kama pesa yake itaishia kwenye mavazi na urembo, ina mana tayari amenisaidia maana sitampatia pesa ya saloon na kunulia nguo, nitawanunulia watoto tu kama tunao.
 
job wife safi coz mtasaidiana kwenye mambo ya hela bt duh anaezakuwa biz hadi hana muda wa kustay na mumewe hapo cjui inakuwaje....
 
Back
Top Bottom