Benny mdogo wangu Mapenzi hayachagui mfanyakazi, mama wa nyumbani, mhindi, mchina, mweusi, mfupi, mnene, mwembamba nk ingawa preferences huwa zipo. Wapo watu waliotamani kuoa/kuolewa na watu wenye muonekano fulani, lakini kabla ya kufikia malengo yao wakapigwa mweleka na mapenzi ya mtu mwenye wajihi/muonekano tofauti na kujikuta wanasahau hata kile walichokipanga awali.
Ni vizuri kuoa mke anayefanya kazi au anayejishughulisha na shughuli yeyote kuimkinga na kubaki nyumbani idle na kufanya umbea ingawa ni vzr zaidi sana kuwa na mke unayempenda kwa dhati ili kujikinga na kuwa na nyumba ndogo zisizo na tija kwako!