Homiliya ya Padre kwenye msiba wa Lukuvi ni mwendelezo wa kutoa somo kwa watawala

curie

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2020
Posts
1,124
Reaction score
2,673
Usipotafakari juu ya kifo unaweza kuwatendea wenzio vyovyote utakavyo. Ukawateka, ukawaua, ukawazika kama mizoga, bila kujali maumivu yao wala hisia zao
Kama vile utaishi milele.

Lakini ukitafakari juu ya kifo, na ukajua kwamba siku moja utalala mauti, utawapenda wenzio, utawalinda, utawaheshimu, na ukiwa kiongozi utaongoza kwa HAKI. Tuache kiburi cha uzima, kifo kipo. Na hilo ndilo neno la leo.
Tumsifu Yesu Kristo 🙏🏽
 
Tumsifu Yesu Kristo 🙏🏽📌🔨
 
RC washikilie hapo hapo, tabia ya kunyamazia uovu wa viongozi ndio imetufikisha hapa.
 
Wakristo kwenye hizi pigo hua hawakwepeshi, Sasa uje ukutane na ule upande mwingine muda wote kusifia watawala na kuwaponda wakristo kuwa hawamtaki kiongozi mwislamu.
 
Usipotafakari juu ya kifo unaweza kuwatendea wenzio vyovyote utakavyo. Ukawateka, ukawaua, ukawazika kama mizoga, bila kujali maumivu yao wala hisia zao
Kama vile utaishi milele.

Lakini ukitafakari juu ya kifo, na ukajua kwamba siku moja utalala mauti, utawapenda wenzio, utawalinda, utawaheshimu, na ukiwa kiongozi utaongoza kwa HAKI. Tuache kiburi cha uzima, kifo kipo. Na hilo ndilo neno la leo.
Tumsifu Yesu Kristo 🙏🏽
Leta ushahidi. La sivyo.huu ni uchochezi
 
Kwa nini wananchi kujazana kwenye misiba ya wasababisha misiba?

Kwa maoni yangu, hii misiba ingesusiwa kabisa na wananchi, wazikane wao kwa wao
 
Kanisa hali rudi nyuma nyia rahisi ni kuwazika viongozi kiserikali kuepusha dhahama
 
Back
Top Bottom