Usipotafakari juu ya kifo unaweza kuwatendea wenzio vyovyote utakavyo. Ukawateka, ukawaua, ukawazika kama mizoga, bila kujali maumivu yao wala hisia zaoUsipotafakari juu ya kifo unaweza kuwatendea wenzio vyovyote utakavyo. Ukawateka, ukawaua, ukawazika kama mizoga, bila kujali maumivu yao wala hisia zao
Kama vile utaishi milele.
Lakini ukitafakari juu ya kifo, na ukajua kwamba siku moja utalala mauti, utawapenda wenzio, utawalinda, utawaheshimu, na ukiwa kiongozi utaongoza kwa HAKI. Tuache kiburi cha uzima, kifo kipo. Na hilo ndilo neno la leo.
Tumsifu Yesu Kristo 🙏🏽
SureMuda si mrefu wataanza kuwakimbia katoliki kwenye misiba
Hawa wahuni ukipata time lazima kuwapopoa tu na Uzuri kwenye msiba dini huiwezi kuikwepaMuda si mrefu wataanza kuwakimbia katoliki kwenye misiba
Leta ushahidi. La sivyo.huu ni uchocheziUsipotafakari juu ya kifo unaweza kuwatendea wenzio vyovyote utakavyo. Ukawateka, ukawaua, ukawazika kama mizoga, bila kujali maumivu yao wala hisia zao