Kuna Tour operator aitwae Frank Boniface ambae amekuwa sugu kwa kuwatapeli wageni haswa wafaransa kwa kupokea fedha na kutowapa huduma za utalii mkoani Arusha. Frank Boniface ambae kwa sasa yupo remande akishikiliwa na jeshi la police ana TALA ya mlima lakini anahadaa na kuwadanganya wageni kwamba atawafanyia safari za kwenda mbugani huku akijua hana hiyo leseni ya mbugani na matokeo yake anakula hela za wageni na kuwafanya wageni wapate usumbufu wa ajabu pindi wanapofika nchini, lakini pia anaikosesha serikali mapato na kuichafua nchi ya Tanzania haswa sekta ya utalii ambayo ni sekta muhimu inayotuingizia fedha za kigeni sisi kama taifa. Hakuishia hapo, amekodisha magari ya utalii ya watu na kuyapeleka kuyaweka bond ili apewe mikopo kausha damu, kweli hatua aliyofikia huyu mtu ni mbaya sana na akiachiwa hivi ataendelea kulitia taifa hasara.
Kama mzalendo nimesukumwa kuleta habari hii baada ya kushuhudia wageni magroup zaid ya matatu wakiwa wametapeliwa na mtu huyu na akakamatwa lakini cha kushangaza hajapelekwa mahakamani. Wageni walifika nchini na wakakalishwa bila kupelekwa porini wakidanganywa siku ya Nyerere day kazi hazifanyiki na there is no way malipo yanaweza fanyika kwa ajili ya safar, lakin badae walipoondoka na kufika getini alishindwa kuwalipia wageni park fees (fedha ya serikali) ambayo wageni walishamlipa hivyo wageni walimreport na alipelekwa mpaka polis tourism, na akiwa hapo matukio mengine kama hayo yaliendelea kurepotiwa.
Kinachotushangaza na kutushtua sisi tour operators hapa Arusha, ni leo ndugu zake wakiongozwa na mwanasheria anaeitwa Devotha Chilimani wanachangisha hela kutoka kwetu sisi operators wengine eti kwamba afande Tenga wa police tourism department amesema anataka apewe milion 5 ili huyu mhalifu asipandishwe mahakamani. Kwa mujibu wa Devota ambae pia ni jirani na rafiki yake anasema ameelekezwa na Askari wakubwa kwamba achangishe fedha hiyo na kamwe wasikubali jamhuri imshtaki Frank ambae ameshindikana. Huyo Devotha ni mwanasheria mbae sio mwaminifu lakini anaekingiwa kifua na watu wenye nguvu akiwemo hawara yake ambae pia ni mwanasheria.
Kwako mheshimiwa waziri, mwezi uliopita mlisitisha na Kufunga lesen ya kampuni fulani ya utalii kwa makosa hayahaya lakini ni kwanini leo mhalifu amekamatwa tena na serikali na kufikishwa kwenye vyombo vya dola aachiliwe bila kuchukuliwa hatua kali ili kukomesha tabia za ukanjanja katika sekta ya utalii?
wako RPC Masejo, tulitamani sana kufika ofisini kwako ili kukueleza kwa kina hili jambo, lakini tumewaza lazima utamshirikisha deputy RCO ambae hua hatumwelewi ni kwanini hua anatetea wahalifu haswa wakiwa na vichenchi kidogo, tukaona ni bora tukweleze hapa ufatilie hili swala kwa kina ili jeshi la polisi Arusha lisichafuke. Ndugu RPC, tunafahamu utendaji wako wa kazi wa kiuweledi ambao ni wa kupigiwa mfano, lakini tuna mashaka na deputy RCO, yule jamaa ambae zamani alikuwa kanda ya kipolisi ya Murieti aitwae Ben
Kwako afande Tenga uisome hii na usikubali kuchafuliwa na wahujumu uchumi na waharibifu wa tasnia ya utalii nchini. Umekasimiwa kitengo cha muhimu sana ambacho pia ni muhimu sana kwa serikali. Tafadhali usikubali jina lako lichafuke na uchukue hatua madhubuti bila kuyumba.
Kwako IGP, tupia jicho lako kwa makini kwa huyo deputy RCO Ben, ikiwezekana umsaidie apande cheo aende pengine vinginevyo atachafuka kwa mwenendo alio nao
Kwako Mwabukusi, Rais wa TLS (Tanganyika Law Society), instead of kuhangaika na serikali na kuingilia majukumu ya kila siku ya serikali, ungejikita katika kufuatilia mwenendo wa wanasheria unaowaongozq ambao hawafati miongozo na nidhamu za kisheria. Wapo wanasheria wengi kama Devota ambao sio waaminifu ambao wanasaidia wahalifu ambao wanahujumu serikali na kutapeli wageni/ watalii wanaokuja nchini. Haya ni mambo maovu ambayo unatakiwa uyafuatilie kwa ukaribu
TAFADHALI VICE PRESIDENT UIONE KWENYE FILE LAKO
TAFADHALI WAZIRI MKUU UIONE KWENYE FILE LAKO