Hon:Great Thinkers

Hon:Great Thinkers

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Posts
18,804
Reaction score
12,227
Naomba mnipokee hasa nikizingatia kuwa tayari nilishaambiwa hapa kuna watu waungwana.
Naomba mnithibitishie hilo kwa vitendo.

Asanteni Sana.
 
Karibu ndani ya JF - tumekupokea kwa mikono yote miwili.
 
karibu kakajambazi kila mtu anaficha ID yake.
 
Asanteni wote hasa juu kwa makaribisho yenye batasamu.
Naombeni mnielekeze jinsi ya kuweka avatar,pia jinsi ya kubadili signiture au profile yangu.
 
Karibu KakaJ, Jina lako kali kwelikweli!
 
Back
Top Bottom