- Thread starter
- #21
Watanzania wanyonge ndio watanzaniw maskiniRais ana mambo mengi sana ya kushughulikia hardtalk haina msaada wowote kwa watanzania wanyonge
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania wanyonge ndio watanzaniw maskiniRais ana mambo mengi sana ya kushughulikia hardtalk haina msaada wowote kwa watanzania wanyonge
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao hao maskini hard talk inamsaada gani?Watanzania wanyonge ndio watanzaniw maskini
This guys tho,was wondering does he knw what hes talkin about?Umesema IQ yake ipo juu zaidi ya 'all Kenyan academicians' ila usichokifahamu ni kwamba wakenya wote wanaojielewa sio 'academicians'. Wengi ni zaidi ya 'academicians', tuanze hapo, hivi unaelewa maana ya 'academicians' lakini?
Yaani mtu akutwange risasi na hjulikani halafu utoe sifa, unaweza kuta kumbe uliyemsifia ndio alikutenda maafa.Hehehe!! Hivi unajua Wakenya wangapia wamepitia hiyo hardtalk, nyie akipitia Mtanzania wa kwanza mnataka kumlinganisha na Wakenya. Ni kweli Tundu Lissu yuko poa sana ukilinganisha na Watanzania wengine, lakini ndio ameanza kucheza ligi ambayo Wakenya wameshaizoea.
Tatizo lake aliniboa kwa kuponda kila kitu asilimia 100% hakuna nzuri alilisema kuhusu nchi yake na rais wake, upinzani wenu unafaa kupata darasa kuhusu uzalendo, ponda lakini sifia walau kimoja.
We we we tundulissu msaliti ni msaliti kwa hiyo usimlinganishe na Watanzania, hiyo ni kauli ya chadrama mcharuko mizee ya matukio isiyo na mbele wala nyuma walahiHehehe!! Hivi unajua Wakenya wangapia wamepitia hiyo hardtalk, nyie akipitia Mtanzania wa kwanza mnataka kumlinganisha na Wakenya. Ni kweli Tundu Lissu yuko poa sana ukilinganisha na Watanzania wengine, lakini ndio ameanza kucheza ligi ambayo Wakenya wameshaizoea.
Tatizo lake aliniboa kwa kuponda kila kitu asilimia 100% hakuna nzuri alilisema kuhusu nchi yake na rais wake, upinzani wenu unafaa kupata darasa kuhusu uzalendo, ponda lakini sifia walau kimoja.
Kwa ile hard talk interviews @ Dunia nzima ilisimama kumsikiliza Tundu lisu.Advocate mbobezi machachari Duniani # Marekan na nchi zingine developed countries wamemkabali hata. afrika pia tume mkubali@ tunasubir interviews nyingine CNN ,Aljazeera, na US news hapo next week
At least hata upinzani wa kenya lakini si watzHehehe!! Hivi unajua Wakenya wangapia wamepitia hiyo hardtalk, nyie akipitia Mtanzania wa kwanza mnataka kumlinganisha na Wakenya. Ni kweli Tundu Lissu yuko poa sana ukilinganisha na Watanzania wengine, lakini ndio ameanza kucheza ligi ambayo Wakenya wameshaizoea.
Tatizo lake aliniboa kwa kuponda kila kitu asilimia 100% hakuna nzuri alilisema kuhusu nchi yake na rais wake, upinzani wenu unafaa kupata darasa kuhusu uzalendo, ponda lakini sifia walau kimoja.
Dogo Unawezaje kutenganisha nchi na Kiongpzi wake?Kiongozi wa Tanzania, kwani wewe hujui??
Hehehe!! Hivi unajua Wakenya wangapia wamepitia hiyo hardtalk, nyie akipitia Mtanzania wa kwanza mnataka kumlinganisha na Wakenya. Ni kweli Tundu Lissu yuko poa sana ukilinganisha na Watanzania wengine, lakini ndio ameanza kucheza ligi ambayo Wakenya wameshaizoea.
Tatizo lake aliniboa kwa kuponda kila kitu asilimia 100% hakuna nzuri alilisema kuhusu nchi yake na rais wake, upinzani wenu unafaa kupata darasa kuhusu uzalendo, ponda lakini sifia walau kimoja.
MK254, Magufuli hana hata moja moja alilofanya ambalo linaweza kumpa Credit bora, mambo yote ni danganya toto, Ni sawa na Baba anapoleta chunvi nyumbani huku hakuna mboga halafu anataka watoto wamshangilie, huku akiwa amepitia Bar amekunywa pombe zake na kuwaletea watoto harufu mbaya ya pombeHalafu huyo mwandishi aliegemea sana upande mmoja, yaani hata hakua anaskliza majibu ya Lissu, alikua kama robot maana wakati pointi ya Lissu ikianza kunoga anahamisha mada ghafla...hehehe yaani haya mahojiano hutaka uvumilivu maana najifahamu mimi sio mvumilivu na tutagombana humo ukianza kuhamisha hamisha mada wakati nimenogewa na kupata mzuka wa kujibu swali la awali.
Lakini je tukija hata kwa Magufuli, utani pembeni, anayo mapungufu yake lakini ina maana kwenye nchi yenu hiyo hana moja amefanya nzuri, wapinzani wa Kiafrika tatizo unafiki bila uzalendo, haiwezekani rais kwa hatamu yote iwe hajafanya hata kamoja tu ka kuonekana, duh! Jamaa aliponda yaani full machungu.....hehehe ndio maana juzi Magufuli alisema anaogopa wapinzani watamchinja.
Tatizo lake aliniboa kwa kuponda kila kitu asilimia 100% hakuna nzuri alilisema kuhusu nchi yake na rais wake, upinzani wenu unafaa kupata darasa kuhusu uzalendo, ponda lakini sifia walau kimoja.