Hon Lissu has high IQ compared to all kenyan academician together with CCM members including Magu

Yaani mtu akutwange risasi na hjulikani halafu utoe sifa, unaweza kuta kumbe uliyemsifia ndio alikutenda maafa.
 
We we we tundulissu msaliti ni msaliti kwa hiyo usimlinganishe na Watanzania, hiyo ni kauli ya chadrama mcharuko mizee ya matukio isiyo na mbele wala nyuma walahi
 

Arudi jimboni kwake kuwatumikia wananchi wake. siyo kusingizia ugojwa wakati anazunguka huku na huku huko ubeberuni.
 
At least hata upinzani wa kenya lakini si watz

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Tatizo la Tundu ni pale alipoingia mtego wa ushoga wa huyo jounalist. Kuhusu kuiponda TZ, huyo mwanahabari hakumpa nafasi ajieleze. Ukiwa na dakika 20 za kuongea juu ya Magu, hutapata nafasi ya kusema mazuri yake. Hata Osama alikuwa na mazuri yake.
 
MK254, Magufuli hana hata moja moja alilofanya ambalo linaweza kumpa Credit bora, mambo yote ni danganya toto, Ni sawa na Baba anapoleta chunvi nyumbani huku hakuna mboga halafu anataka watoto wamshangilie, huku akiwa amepitia Bar amekunywa pombe zake na kuwaletea watoto harufu mbaya ya pombe
 
Tihihihi....And a Hen has better IQ than that thing Lissu
 
Tatizo lake aliniboa kwa kuponda kila kitu asilimia 100% hakuna nzuri alilisema kuhusu nchi yake na rais wake, upinzani wenu unafaa kupata darasa kuhusu uzalendo, ponda lakini sifia walau kimoja.

..huku Tz the ruling party and the opposition huwa hawana jambo zuri la kusema kuhusu mwenzake.

..sijawahi kumsikia Raisi au Spika wa bunge saying any positive about Tundu Lissu. Sijawahi.

..na wanamchukia Tundu Lissu kwasababu ana tabia ya kusema ukweli bila kuficha au kuogopa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…