Waziri Mayai Wa Maradhi
JF-Expert Member
- Jan 28, 2026
- 409
- 98
Asubuhi ya leo, Fabian Louie organizer wa miss malindi 2026 alipata nafasi ya kukutana na Mheshimiwa Philip Charo, CECM wa Fedha na Mipango ya Kiuchumi wa Kaunti ya Kilifi.
Ameahidi kutoa msaada wake kamili kwa Miss Malindi 2026, akitambua tukio hili kama jukwaa muhimu kwa vijana kukutana, kuonyesha vipaji vyao, kuitangaza jamii yetu na kushiriki katika mapambano dhidi ya Vurugu na Dawa za Kulevya miongoni mwa Vijana.
Tunashukuru sana kwa msaada na moyo huu wa kututia nguvu. Ni jambo kubwa kwetu sisi vijana tunaofanya juhudi kuleta mabadiliko chanya katika jamii yetu.