Anatomical
New Member
- Feb 11, 2018
- 2
- 0
Honda ace cb 125vs boxer bm 150 ipi bora kwa usafiri binafsi au matumizi binafsi si kwa biashara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuu kwa ushauri big upNunua Honda Mkuu ipo ruxury sana na balance nzuri unapokuwa umekaa kwenye kiti hiyo boksa kiti utafikiri umekaa kwenye benchi na hata control ni tabu pia njia nzima ni kupungiwa mikono ya abiria wakijua bodaboda labda uweke bango la priveti.
Acha utani hadi pikipiki za aina hiyo unauliza ulaji wa mafuta kweli uko tayari kuhudumia chombo cha usafiri barabarani kweli?honda ace na boxer vip ulaji wa mafuta .ipi inakula sana