Honda ace cb 125 na Boxer bm 150 ipi bora kwa usafiri binafsi?

Anatomical

New Member
Joined
Feb 11, 2018
Posts
2
Reaction score
0
Honda ace cb 125vs boxer bm 150 ipi bora kwa usafiri binafsi au matumizi binafsi si kwa biashara
 
Nunua Honda Mkuu ipo ruxury sana na balance nzuri unapokuwa umekaa kwenye kiti hiyo boksa kiti utafikiri umekaa kwenye benchi na hata control ni tabu pia njia nzima ni kupungiwa mikono ya abiria wakijua bodaboda labda uweke bango la priveti.
 
Asante mkuu kwa ushauri big up
 
honda ace na boxer vip ulaji wa mafuta .ipi inakula sana
 
Back
Top Bottom