Kamanda Moshi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 1,928
- 2,867
Karibu kwa swali loloteMkuu Mimi nimejikuta navutiwa na hii Honda CR-V ya mwaka 2010 4wd nitahitaji kupata uzooefu wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu kwa swali loloteMkuu Mimi nimejikuta navutiwa na hii Honda CR-V ya mwaka 2010 4wd nitahitaji kupata uzooefu wako
Nina wasiwasi na ground clearance compare to. RAV 4 naona Kama Iko chini has ruogh roadsKaribu kwa swali lolote
Na common challenges zake ni zipiNina wasiwasi na ground clearance compare to. RAV 4 naona Kama Iko chini has ruogh roads
Spea na mafundi ndo challenges huanzia hapoNa common challenges zake ni zipi
Bima italipia wese, Spea?Unakuwa na bima kubwa tuu hutapata hizi shida ndogo ndogo
Hizo gharama hazikwepeki popote.. Sidhani kama hata bima ya afya inagharamia matumizi ya kila siku ya wateja wakeBima italipia wese, Spea?
Mkuu serikali imenunua honda CRV za kutoshaUkiona gari haitumik serikalin ogopa sana
Halmashauri ya bagamoyo kuna homda crv za kutoshaMkuu serikali imenunua honda CRV za kutosha
Wao wananunua brand new pia serikalini gari zina ukomo wa matumizi ukifika Sera inaanisha zipigwe mnada ndo Wanyonge tunaponea humoHalmashauri ya bagamoyo kuna homda crv za kutosha
Unajitekenya na kucheka mwenyewePole sana mtoa post! Honda CRV ni level nyingine kabisa. Comfortable, roomy, stable sana. Spare ni cheap na zinapatikana sana kwa sasa. Naimiliki najua, hayo mengine ni Toyo-ta syndrome.
Sio ukae tu, sema lazima uukalie😂Narudia, gari isiyo Toyota Kwa Tanzania Lazima ukae