Used bei gani? Namaanisha ile ya kuanzia 3rd hand ya sisi wanyonge.Kwa sasa naona zinazidi kujaa nchini, ni gari ambayo sijutii na ina heshima yake,na haina usumbufu kabisa popote unaenda
Kibongo bongo Mkurugenzi.Mkuu una maanisha kibongobongo au Japan?
Mkuu machine iko poa sana, kiufupi haijawahi niletea shida yoyote yaani tangu nimeanza kuitumia haijawahi niangusha, na ina shukrani sana iko comfortable ,sema wabongo ni mabingwa wa kupondea vitu ambavyo hawajawahi kuvimiliki, wanapenda kila mtu apende wanachopenda wao ,kuhusu spea zinaingiliana na Toyota na Subaru baadhi ya spea,Nipe abc zake mzee naikubali sana hii ndinga japo wadau wengi hawaizungumzi vizur ukiwauliza naona ww unaweza kuwa msaada kama ushaimiliki isitoshe ndio nipo kwenye harakati zakutafuta kigari flan unique hiv
mkuu na bei ya kuagiza japan imesimamaje? je unamshauri mtu anayeishi mkoani kumiliki hii gari?Kibongobongo itategemea na mwenye Mali boss
Mkuu machine iko poa sana, kiufupi haijawahi niletea shida yoyote yaani tangu nimeanza kuitumia haijawahi niangusha, na ina shukrani sana iko comfortable ,sema wabongo ni mabingwa wa kupondea vitu ambavyo hawajawahi kuvimiliki, wanapenda kila mtu apende wanachopenda wao ,kuhusu spea zinaingiliana na Toyota na Subaru baadhi ya spea,
Kiufupi ukitaka kufanya jambo usisikilize ushauri wa kimasikini hutatoboa