Honda crossroads

enockino

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2014
Posts
273
Reaction score
171
Wanajukwaa naomba kujua ubora na changamoto za gari Honda crossroads
 
Honda gari zao imara sana na ni ngumu ila kama unaishi nje ya daslam basi ujiandae kuagiza spea pale inapotokea.
 
Umeshanunua gari? Au ndo kule tena umeanza kuuliza watu wakupe ushauri juu ya Dualis?
 
Mazingira ya kodi ya magari Tanzania sio rafiki wacha jamaa aendelee kuulizia kila gari mimi nimemuelewa sana hata mimi niliwahi nunua gari sio chaguo langu hapo mwanzo kwa sababu tuu ya kodi niliyokua nayo..
 
Wanajukwaa naomba kujua ubora na changamoto za gari Honda crossroads

Gari nzuuri ila engine yake haina nguvu sana
Sijui kama ina option nyingi..lakini nliyoendesha mimi ni nzito kidogo ni kama body kubwa engine ndogo!

Ni tofauti kabisa ukiendesha gari ka tiguan au hata harrier tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…