Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila gari ina ubora wake na changamoto zake.. Kwa mfano unaweza kupata gari ambayo haili mafuta sana lakini ikawa na shida ya speed ama kuhimili masafa.. Honda nyingi ni gari ngumu ila kwenye spare ndio kimbembeWanajukwaa naomba kujua ubora na changamoto za gari Honda crossroads
Gari ngumu hiyo changamoto sio nyingi chukuaWanajukwaa naomba kujua ubora na changamoto za gari Honda crossroads
Umeshanunua gari? Au ndo kule tena umeanza kuuliza watu wakupe ushauri juu ya Dualis?
Kuna sehemu tena anaulizia vipi matumizi ya mafuta ya bajaji yakoje na spares zake.Gari ngumu hiyo changamoto sio nyingi chukua
Wanajukwaa naomba kujua ubora na changamoto za gari Honda crossroads