Honda EB5000X Portable Generator

Honda EB5000X Portable Generator

Joined
Dec 1, 2010
Posts
68
Reaction score
4
kama mgawo wa umeme unakwamisha biashara zako, basi pacificamarine inakuletea "USED HONDA Generator" inayofanana na iliyoko kwenye picha. Ilikuwa inatumika USA. Iko Dar es salaam. Ina hali nzuri mno. Wasiliana nasi at : pacificamarine@yahoo.com ili tukuunganishe na maajenti wetu hapo Dar ili ukaitazame na kununua. Bei si mbaya.
KUMBUKA: Kwa mahitaji yako ya vifaa vya Electronics, computers, simu za mkononi, printer toners na vifaa vyote ambavyo havipatikani kirahisi Tanzania, usisiste kuwasiliana nasi na tutafurahi kufanya biashara na wewe.
3mc3pa3l55T05Z25X4b1f292ee8c87768189e.jpg
 
Back
Top Bottom