Honda Element 2005 LX

Honda Element 2005 LX

KANYEGELO

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,238
Reaction score
4,885
Wajuzi hbr za kushinda nahitaji muongozo kuna hii gari nimepita platfomu x nimeona inauzwa imenivutia mkao wake ,mara moja kwa kutokea mtoko ,bei jamaa anayouza ni ya kawaida sana.

Nachoomba kwenu mwenyekufahamu hii brand anipe mawili matatu , maana honda na mazda ndio brand pendwa moyoni mwangu swala la vipuli sio tatizo nilishazoea kwa sasa.

Mazda cx 5 imenifanya nikomae sana hivyo sina uwoga wowote , hii nayo nahitaji sana niikamate mwenye ujuzi karibu unipe mawili matatu Engine ni 2.4 L


1642361659461.jpg
1642361619195.jpg
1642361637641.jpg
 
Back
Top Bottom