Ndio ni EPS bossGari yako inatumia usukani wa umeme? EPS?
Ndio ni EPS boss
usukani umefanyaje bossShida iko kwenye usukani.
alinement nilifanyanahsi yaweza kuwa usukani au wheel arigment haiko sawa if izo mambo ziko sawa jarbu chek up ya shockups na wishbone
kuna vibration inatokea?alinement nilifanya
usukani umeanyaje boss
Hakuna vibration hata kidogokuna vibration inatokea?
Unamaanisha nitingishe juu-chini, kushoto kulia si ndio?Sijajua ni nini huwa kinagonga. Ila I'm sure 100% ni usukani. Mimi mi fundi wa magari japo siyo upande huo.
Simama zima gari halafu anza kuutikisa huo usukani kidogokidogo. Utaelewa ninamaanisha nini.
Unamaanisha nitingishe juu-chini, kushoto kulia si ndio?
Boss nime Twist unalia kada kada kada kadatwist
Boss nime Twist unalia kada kada kada kada
kwa hiyo matibabu yake ni nini.Ndio
kwa hiyo matibabu yake ni nn