Honda Fit inatoa mlio wa gu gu guuuu kwenye vishimo hata kwenye mwendo mdogo,

Honda Fit inatoa mlio wa gu gu guuuu kwenye vishimo hata kwenye mwendo mdogo,

Mkuu mimi pia gari yangu ilikuwa inalia mlio huo nikiwa rough road nimehangaika ndo baadae nikaja kujua kuwa ni grisi ilikuwa imeisha kwenye sterling rack. Hebu na ww nenda kajaribu hiko kitu
 
Hivyo Honda Fit reviews zinaonyesha zinakuwa na prob kwenye usukani na breki. Yako ni ya mwaka gani?
 
Back
Top Bottom