Honda Road Cross naomba maoni yenu

Honda Road Cross naomba maoni yenu

Albinoomweusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2016
Posts
3,433
Reaction score
8,585
Kwa miaka mingi nimetumia Toyota nilianza na Rav4, Passo, Raum, Noah, Spacio, Kisha nikarudia Noah ambayo niko nayo muda mrefu kuliko gari zote hizo tangu 2019.

Natamani sasa kupata Gari nyingine na hasa safari hii natamani gari tofauti na Toyota

Macho yangu yameona HONDA ROADCROSS KImuonekano iko vizuri mno

Je wataalam wa Magari nipeni Advantage na Disadvantage zake..

NB: Napendelea Family Car kwa sasa ndio maana niliirudia Noah.

Natakuliza Shukrani kwa maoni yenu.
 
Back
Top Bottom