Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,433
- 8,585
Hiyo Noah unaiuza shilling ngapi mkuu? Nuna shida naoKwa miaka mingi nimetumia Toyota nilianza na Rav4, Passo, Raum, Noah, Spacio, Kisha nikarudia Noah ambayo niko nayo muda mrefu kuliko gari zote hizo tangu 2019...
Ukifika Muda wa kuisukuma ntakujuza kwa maana nikishakuwa na gari nyingineHiyo Noah unaiuza shilling ngapi mkuu? Nuna shida nao
Poa ila ungeiuza sasa hivi ili u top on pesa ya kuagiza Honda yako,mkuuUkifika Muda wa kuisukuma ntakujuza kwa maana nikishakuwa na gari nyingine
siwezi kuishi kuishi bila gari mkuuPoa ila ungeiuza sasa hivi ili u top on pesa ya kuagiza Honda yako,mkuu
Ntakuachia kwa mda mpaka Honda yako itakapo fika kutoka japan ni 3wks onlysiwezi kuishi kuishi bila gari mkuu
1800Unataka cc 2000 au cc 1800?
Iko poa. Inashare na Honda City, Stream Civic generation flani hivi.1800