Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
<br>Lol, thubutu! Yaani nimsaliti my wife kisa nimekuona wewe hapa JF? Nimekuambia unipe majibu mapema ili niongee naye juu ya hili ili kupata ridhaa yake, hii ni kutaka kukusaidia wewe sugar mummy! Akikataa basi si ridhiki.... Kwani labda kati yako na ex wako, ni nani aliyeanza kumsaliti mwenzake mpaka leo umefikia hapa? Basi ukifanikiwa kumpata mwingine, uwe na ka utaratibu ka kumshirikisha mwenzi wako kila mara unapotaka kuanzisha mahusiano mapya ya kimapenzi nje ya ndoa! Hii itakusaidia usiwe na migongano ndani ya ndoa yako, lakini pia kupunguza uwezekano wa kuwa na watoto wengi wa mitaani kama si yatima kabisa kwani magonjwa ni mengi!<br>
<br>
Hahaa hahaa hii nimeipenda mkuu!