relationship ya wapi,ya wanaume hawa wa kibongo? 1 in 100 wakweli.Labda kwa mtutu wa bunduki......otherwise niwe nimeshachoshwa na hiyo relationship yenyewe!!!
Anatania bana lol.relationship ya wapi,ya wanaume hawa wa kibongo? 1 in 100 wakweli.
read my signature!!!
kwenye red hapo,ni except death au except everlasting life?money can buy anything except death so i take cash
Hiyo pesa akupe nani? Njema/Jimama?, likujie na mifweza likwambie niuzie uliye naye? Au akupe mpenzi wako akwambie "tuishie hapa?"Just speak your mind; Kama umepewa 5000 Million shilings cash to end the relationship with whoever you are dating, hata kama mapenzi yenu ni ya miaka 5 au zaidi.....will you accept the offer.
Just speak your mind; Kama umepewa 5000 Million shilings cash to end the relationship with whoever you are dating, hata kama mapenzi yenu ni ya miaka 5 au zaidi.....will you accept the offer.
Inategemea wewe kwako mapenzi nini, kama mapenzi ni PESA, obvious unatapokea lakini kama ni inner feelings embeded at the bottom of your heart plus true love nafikiri huwezi kupokea.
Pia kuongezea, ukiendekeza pesa utaachana na wapenzi kila siku. Maana kwa mdada anayependa pesa, kila mwanaume anayepanda dau, yeye atamkubali na akina kaka wale wanaopendwa kulelewa, hali itakuwa hivyo hivyo!!!
Si busara kuendekeza sana pesa bana kwenye mahusiano. Endekeza pesa kwa mambo mengine.
relationship ya wapi,ya wanaume hawa wa kibongo? 1 in 100 wakweli.
Hahahahaha, we hufai kabisa kumbe!Namuachilia mbali halaf nampakazia ana ukimwi vile vile kuonesha msisitizo.
Kulaleki! naomba contact za mwenye iyo dili
Anatania bana lol.
Deskmate! kwa hicho kidau apo hata Kikwete anaweza akamkana mama salma hazarani, achilia mbali sisi wauza ugoro.Hahahahaha, we hufai kabisa kumbe!
Milioni tano?mi hata 5mil natembea, assume unakataa huo mkwanja on the way anakusalit huon km utajutia maamuz yako. Binadam haaminik 100 pasent lolote laweza tokea, kamata pesa kaanze uhusiano mwingine