Honest replies please!

Honest replies please!

Honestly pesa napokea. Usawa huu kweli niache that big deal? Nikimng'ang'ania afu kesho na kesho kutwa kanipiga chini na deal lineshapita deadline, ntalia na nani?

Maisha kwanza mapenzi baadae.
 
Just speak your mind; Kama umepewa 5000 Million shilings cash to end the relationship with whoever you are dating, hata kama mapenzi yenu ni ya miaka 5 au zaidi.....will you accept the offer.
Hiyo pesa akupe nani? Njema/Jimama?, likujie na mifweza likwambie niuzie uliye naye? Au akupe mpenzi wako akwambie "tuishie hapa?"

Ikiwa ni hiyo ya kwanza, nitashauriana na mpenzi wangu, atakaloamua yeye ndio uamuzi wangu.
Ikiwa ni yeye anatoa mihela nimwache, nitamshukuru kwa ofa.
 
Just speak your mind; Kama umepewa 5000 Million shilings cash to end the relationship with whoever you are dating, hata kama mapenzi yenu ni ya miaka 5 au zaidi.....will you accept the offer.

absolutely, hata kwa M50 naachia ngazi..
 
Inategemea wewe kwako mapenzi nini, kama mapenzi ni PESA, obvious unatapokea lakini kama ni inner feelings embeded at the bottom of your heart plus true love nafikiri huwezi kupokea.

Pia kuongezea, ukiendekeza pesa utaachana na wapenzi kila siku. Maana kwa mdada anayependa pesa, kila mwanaume anayepanda dau, yeye atamkubali na akina kaka wale wanaopendwa kulelewa, hali itakuwa hivyo hivyo!!!

Si busara kuendekeza sana pesa bana kwenye mahusiano. Endekeza pesa kwa mambo mengine.

Nakubaliana nawe kwa asilimia zote!
 
hata huyu nilienae halingani na huo mpunga so lzm nimpige chini aiseee....
 
relationship ya wapi,ya wanaume hawa wa kibongo? 1 in 100 wakweli.

Bishanga......let me do my best and I believe God will do the rest! Sijali saaana mambo ya kuchapa lapa, hata kama akija kwenda nitamwacha aende zake for it is up to yeye and what he feels! Siwezi mwacha eti kwa sababu nimepewa pesa tu...and honestly am telling you B, hata kama kuna kikwazo sana au kiashiria kwamba ni lazima nimwache.....basi I will walk away with my hands and legs only, sitapokea hata senti tano!!!
 
Namuachilia mbali halaf nampakazia ana ukimwi vile vile kuonesha msisitizo.
Kulaleki! naomba contact za mwenye iyo dili
 
Anatania bana lol.

Am serious pipilady.......katika vitu ambavyo naviavoid mimi ni tamaa ya pesa iliyokithiri na kupenda dezo dezo!!! Sipendi kufanya makosa kwa justification eti kila siku relationship/marriage za kibongo bongo ni usanii mtupu'....HAPANA..NO!!! Though yawezekana the same deal likamgeukia yeye na akaniacha solemba.......poa tu, kwani will I stop breathing or will it be the end of my happiness?? Ninachoconsider mimi ni yale niyatendayo....!
 
usanii huo mbele ya chuzi, kwani ulizaliwa na huyo mpenzi,jamani si mlikutana barabarani?
 
wengine hawana hata mapenzi ya kweli kwa hiyo wataona unawasaidia
 
Million 5,000? kuna watu wakipewa VITZ tu, umepigwa chini, itakuwa mshiko wote huo? chezea hela weye!
 
We unategemea majibu gani...

Siku hizi.... Watu tunaoa na kuolewa na watu mbalimbali ambao hatujawapenda kwa dhati.. Nina ushahidi wa bibi harusi mtarajiwa,(vikao vinaendelea)kutembea na rafiki yangu waliyekutana kwenye foleni ya benki!

Nina ushahidi wa best man kutembea na bibi harusi mtarajiwa baada tu ya kufahamiana kwenye vikao vya maandalizi ya shughuli hiyo...

Sasa unategemea majibu gani!

Nina ushahidi wa rafiki yangu mwingine naye ana ndoa yake anayetembea na mke wa mtu.... Ah.. Tuache tu..
 
mi hata 5mil natembea, assume unakataa huo mkwanja on the way anakusalit huon km utajutia maamuz yako. Binadam haaminik 100 pasent lolote laweza tokea, kamata pesa kaanze uhusiano mwingine
Milioni tano?
Mi hata elfu tano najikata!
 
Back
Top Bottom