nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Honestly TBC wanatangaza wanakuja kuwafanyia coverage mlitarajia fairplay? Yaani Lissu aelezee jinsi jamaa alivyoagiza apigwe risasi kwamba ni msaliti anawasiliana na Mwanyika ambaye naye ni mgombea ubunge huko CCM ingawa naye inasemekana ni kibaraka wa mabeberu?
TBC wametumia picha za asubuhi saa 5 tena za drone wakapost kwamba ndio mafuriko na ndio zinatumika mitandaoni, for the first time leo CHADEMA inahangaika kujitetea kuhusu crowd unadhani TBC hawajui kwamba kulikuwa na crowd kubwa?
Jamani nyie wapumbavu wa CHADEMA media hivi Makene analipwa mshahara? Kuna social media team? Mbowe, Lissu ana maumivu ya kutisha na mzigio mkubwa mabegani kwake, unashindwa ku-organise hata team ya kueleweka ya social media?
Wewe kweli uli-recruit Katambi na Mashinji? Leo msaidie basi hata Lissu kumtafutia drone ya kupiga picha juu basi kama umekosa drone ya milioni 2 basi tafuta wapiga picha watakaonenda kuomba vibaraza vya watu na kupanda juu ya miti, sijui kama umenielewa?
Walioenda juzi tcra kuhusu drone,msawali ilkuwa unatumia drone kwa ajili gani?Sema unachotaka wewe usiseme mkutano hupewi kibali ndiyo maana tbc leo wametupia pic ya juu inawadhalilisha ,mkoje lakini jamani?
Kuanzia mkutano ujao, mikutano yenu yote pigeni picha na drone leo mtajitetea na mapicha hadi itakuwa ujinga next time so on iwe drone pics na updates za kufa mtu acheni ujinga.
Angalia sanifu kama hizi ni wana brainwash watu na watafanikiwa