Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Kama hiyo honey inavimbisha sura namna hiyo sipo tayari kuionja
Au sio ππππHii lazima ina Nicotine sisi wenye masoko ulaya itatusumbuaπ«£
Onja basi π π πKama hiyo honey inavimbisha sura namna hiyo sipo tayari kuionja
HakikaKama hiyo honey inavimbisha sura namna hiyo sipo tayari kuionja
ππππila kwa nini umeweka huyo binadamu hapo?Au sio ππππ
Uyu ndo moambanaji anae wapola nyuki utamu wao na jutuletea sisiπππππππila kwa nini umeweka huyo binadamu hapo?
Kisa nini nikabonyee macho kama mchinaOnja basi π π π
Au sio π πKisa nini nikabonyee macho kama mchina