Honeymoon..!

Honeymoon..!

Iza

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2009
Posts
2,045
Reaction score
643
Wa-JF
Ningependa kupata mawazo yenu kuhusiana na mahali muafaka kwa ajili ya kuifanya hii kitu (kwa Tz)..
Pia ni kitu gani wadada wanategemea..
Brothaz twatakiwa tufanyaje kuifanya iwe SPESHELI Daima...
 
Mbuga za Wanyama....Mikumi sana sana....hata Serengeti si mbaya
 
Check on your resources....times n funds....
 
tafuta hoteli nzuri na za mbali na mji kama kule Kigamboni kuna Hotel kama Protea na nyingine nyingi tu ni nzuri na mnakuwa private

Honey moon ni muda mzuri sana wa kupumzika kutokana na stress za maandalizi ya harusi ni sehemu ya kurefresh mind na kutofikiria chochote kuhusu matatizo na pia inatakiwa mzime simu kabisa au kama kuwasha mnawasha inapobidi

Ni muda muafaka wa kulifaidi penzi halali kisheria na kidini kwa raha zenu bila bughudha yoyote

Pia mnaweza kutumia siku hiyo kupanga mipango yenu ya maisha kama mwili mmoja

Katika siku nilizo enjoy duniani ni siku za honey moon yetu sijui nieleze vipi ila nataka mwaka huu siku ya Anniversary tuende tena kule tulikofanyia honey moon tukajikumbushe
 
kila ninapokuwa naye kwangu ni honeymoon, haijalishi ni wapi, tunakula nini, as far as tuko pamoja na tunapendana
 
mh ebu mkajfche maserengeti uko kat kat ya mbuga!!!!
lakin sjui ni vp m ant shangwe manake nkifikiria maela ya hny moon apo ningemtoa mtoto mmoja ada ivi au wawili watatu ivi kwa ada zao ivi then km si ivo ningenunua kaprot kengine.....simaanishi kutojua umuhimu wa hny moon au holidays km izo apana bt kwa matatizo aya yaliyoniandamana dah nahisi ntakuwa ndani ya bg hoteli afu mawazo yote njeeeeeeeee nawaza mdgo wangu yule adsa kafukuzwa yule jirani yangu jamani kashindwa kwenda hosptal hana .....mazngira yetu kibongo bongo hny moon kulazimisha!
ata nkija kuolewa ni watu wachache saaaaaaana just kdgo na si michango mavikao sjui madudu gani ahhhhhhhh kupoteza pesa ,tyme etc
km anakupenda yatosha hny moon ni maisha yenu yote mtakapokuwa wawili .
MAY B USHAMBA UNGALI NKUGANDA MIE!!!!!!
 
Hata sijui ni-advice nini hapo..nendeni Zanziberi kule kwenye marashi ya pemba
Nungwi kuleeeeee...mkajichimbie
 
Acheni mambo yenu hayooo!! What is honeymoon?:focus::focus::A S-danger::crutch:
 
Wa-JF
Ningependa kupata mawazo yenu kuhusiana na mahali muafaka kwa ajili ya kuifanya hii kitu (kwa Tz)..
Pia ni kitu gani wadada wanategemea..
Brothaz twatakiwa tufanyaje kuifanya iwe SPESHELI Daima...
Sisters, changieni hapo
 
Wa-JF
Ningependa kupata mawazo yenu kuhusiana na mahali muafaka kwa ajili ya kuifanya hii kitu (kwa Tz)..
Pia ni kitu gani wadada wanategemea..
Brothaz twatakiwa tufanyaje kuifanya iwe SPESHELI Daima...
Ili iwe spesho daima, hakikisha mimba inaingia!
 
EAT make love and have fun....if u want u can pray too
 
Back
Top Bottom