Honeymooon iliyoishia kwenye msiba

Honeymooon iliyoishia kwenye msiba

Hata wewe ukileta habari za kuokoteza bila kuleta chanzo nakuzingua tu. Mimi siko interested na kusambaza chuki za kidini. Au kushabikia vitu vinavyofanya dini moja sio sahihi. Dhumu la kusambaza hii taarifa ninkiwaattack Waislam na kueneza Chuki.

Nimesema CHADEMA sababu nimeona watu wengi Content Creator na Wanaharakati wa Chadema wanajazana kukosea ha kulaani hiintaarifa wakaacha kupost ziara ya heche, Katiba mpya na maendeleo ya kesii za chama zinazoendelea.

Hii taarifa inaacha maswali mengi kuliko majibu. Kwa ufupi haijakamilika.. Siiungi mkono. Na haina faida kwa chadema ndo maana nimewazingua. Mnashindwa kuforcus na mambo ya msingi wakati mnajua taifa linawategemea nyie mnashadadia udaku. Matako yenu.

IMG-20261019-WA0031.jpg
IMG-20261019-WA0032.jpg

HII ni taarifa ya ukweriiii na ukibisha. Tukuchangie nauli then uende SAUDIA UKA PIGE NYETO MSIKITINI HADHARANI UONE UTA UKUMIWA ADHABU GANI
 
Si kila safari ya maisha huanza kwa furaha na kumalizika kwa furaha.

Kwa wanandoa wawili kutoka Bangladesh, safari yao kuelekea Makka ilipaswa kuwa mwanzo wa kumbukumbu nzuri ya maisha yao ya ndoa.

Walikuwa wameanza ukurasa mpya wa maisha, wakielekea katika mji mtakatifu wa Makka kwa matumaini na furaha lakini mambo yalibadilika ghafla.

Wakiwa huko, Nazrul Islam Abdul Basir na Siti Akhtar walikumbwa na tukio lililobadilisha kabisa hatima yao.

Ndani ya msikiti huko Makka, Nazrul alimbusu mkewe Siti kwenye paji la uso, busu hilo lilikuwa ishara ya upendo na shukrani kwa Mwenyezi Mungu kwa zawadi ya mwanamke aliyekuwa amekuwa sehemu ya maisha yake.

Badala ya wakati huo kuwa kumbukumbu ya upendo, uliishia kuwa mwanzo wa matatizo makubwa, wawili hao walikamatwa, wakafikishwa mbele ya vyombo vya sheria na baadaye kuhukumiwa kifo kwa kosa lililohusishwa na kitendo cha maadili yasiyofaa ndani ya msikiti.

Hatimaye, hukumu hiyo ilitekelezwa safari iliyokuwa imeanza kwa matumaini ya wanandoa wapya ikageuka kuwa safari ya mwisho ya maisha yao.

Miili yao ilirejeshwa Bangladesh ikiwa katika majeneza mawili tofauti, huku familia zao zikikabiliwa na maumivu makubwa ya kumpoteza watu wao wa karibu katika mazingira ambayo ni vigumu kuyasahau.

Wakati mwingine maisha yanaweza kubadilika ndani ya muda mfupi sana, safari iliyokuwa ya fungate, ikaishia kuwa safari ya mwisho.

Somo ambalo nimejifunza kwenye hili jambo ni kwamba usiende kwenye nchi ambayo haujui mila, desturi na Utamaduni wake.View attachment 3694831
Dini ndio Inakuwa katili kiasi hiki?
Duh!!
Halafu wanasema ya haki!
 
Wale hawakuwa wanandoa. Wala hawakuwa katika fungate. Hawakuwa katika Umrah. Na Saudi Arabia imetoa tamko rasmi kuwa wale watu wawili wametekelezewa Adhabu ya kifo kwa sababu ya kufanya vitendo vichafu katika Msikiti Mtukufu wa Makkah sio kwa sababu ya kubusiana tu.

Kuna uvumi mwingi sana unasambazwa kuhusiana na watu hao.

Na wala Uislam haujakiukwa kwa Saudi Arabia kuwahukumu hivyo. Wamehukumiwa chini ya Ta'azir, ukizingatia Ukubwa wa Utukufu wa Msikiti Wa Makkah na Maeneo Matukufu ya Makkah na uzito wa kosa lao hilo kufanyika Ndani ya Eneo lile Tukufu.

Kusambaza uvumi sio jambo zuri Mshana Jr
 
Dini ndio Inakuwa katili kiasi hiki?
Duh!!
Halafu wanasema ya haki!

Naam Uislam ni Dini ya Haqq. Ninamshukuru mno Allah kwa Neema hii Tukufu Mno kwangu.

Muslims will never apologise for being Muslims and we are always proud of being Muslims, Alhamdulillah.
 
Wale hawakuwa wanandoa. Wala hawakuwa katika fungate. Hawakuwa katika Umrah. Na Saudi Arabia imetoa tamko rasmi kuwa wale watu wawili wametekelezewa Adhabu ya kifo kwa sababu ya kufanya vitendo vichafu katika Msikiti Mtukufu wa Makkah sio kwa sababu ya kubusiana tu.

Kuna uvumi mwingi sana unasambazwa kuhusiana na watu hao.

Na wala Uislam haujakiukwa kwa Saudi Arabia kuwahukumu hivyo. Wamehukumiwa chini ya Ta'azir, ukizingatia Ukubwa wa Utukufu wa Msikiti Wa Makkah na Maeneo Matukufu ya Makkah na uzito wa kosa lao hilo kufanyika Ndani ya Eneo lile Tukufu.

Kusambaza uvumi sio jambo zuri Mshana Jr
Dumbya leo kapiga 2 kwenye ushindi mnono wa bao 6
17925912349603787396956003037824.jpg
7f53be7b-e79a-4605-856c-d8e15aaf3a67.jpeg
 
Sharia Law!!! Sharia law. Hakuna Upendo wala Ishara ya Upendo. Dah!
Inasikitisha mno. RIP wanandoa wapya- ndo ivo tena imeshakuwa.

Hawakuwa wanandoa wapya wala wanandoa wowote wale.

And we are proud of Shari'ah, Alhamdulillah.
 
Watawalipa tu maana hilo ni bifu la Nchi na Nchi huwezi ukaua raia wa Nchi nyingine ukachekewa wataenda Wasaudia huko Bangladesh watasakiziwa mbwa wakikimbia tu imeisha hio za kichwa

Saudi Arabia ishamtekelezea Adhabu ya kifo mpaka raia wa Marekani mwaka 2023, ambaye alimuua Baba yake mzazi.

Sijasema hivi kuitweza Bangladesh wala kuidunisha, Bangladesh ni Nchi ya Kiislam na ninamuomba Allah Aibariki na Awaongoze na kuwahifadhi watawala wake na watu wake, Aamiin.

Nimetoa mfano wa Marekani kujibu hoja yako ya Bifu, kwa sababu Marekani kwa baadhi yenu mnaiogopa mno.

Saudi Arabia mpaka watu kutoka Familia ya Kifalme washawahi kutekelezewa Adhabu ya Kifo. Mwaka 2016 kuna mwanamfalme alitekelezewa adhabu ya kifo kwa sababu ya kumuua raia mwengine wa Saudi Arabia.

So sio kwa sababu labda walikuwa ni Wabangladesh. Kuna Msaudia alihukumiwa kifo kwa kumuua mfanyakazi wake wa ndani kutoka Bangladesh.

Hiyo ndio Shari'ah.

Ninamshukuru Allah kwa Neema ya Uislam na Sunnah.

Allah Aibariki Saudi Arabia na kuiongezea Neema, Aamiin.
 
Ninaipenda Saudi Arabia kwa ajili ya Allah.
 
Hii habari nimeiona inasambazwa na watu wa CHADEMA. Bado sijajua hii kampeni inalenga nini. Sababu nimefuatilia sipati chanzo sahihi.

Mtu inifafanulie. Je, nii propaganda za kisiasa au taarifa za kidini?

Sababu taarifa haijakamilika. Haijataja tukio limetokea lini na mahakama gani wala kosa walofanya la kubusu sijapata walihukumiwa kwa sheria gani. Bado nafuatilia hiki kisa.. Anayejua vizuri anielezee
Chadema imeingiaje ingia hata BBC utaikuta
 
Wale hawakuwa wanandoa. Wala hawakuwa katika fungate. Hawakuwa katika Umrah. Na Saudi Arabia imetoa tamko rasmi kuwa wale watu wawili wametekelezewa Adhabu ya kifo kwa sababu ya kufanya vitendo vichafu katika Msikiti Mtukufu wa Makkah sio kwa sababu ya kubusiana tu.

Kuna uvumi mwingi sana unasambazwa kuhusiana na watu hao.

Na wala Uislam haujakiukwa kwa Saudi Arabia kuwahukumu hivyo. Wamehukumiwa chini ya Ta'azir, ukizingatia Ukubwa wa Utukufu wa Msikiti Wa Makkah na Maeneo Matukufu ya Makkah na uzito wa kosa lao hilo kufanyika Ndani ya Eneo lile Tukufu.

Kusambaza uvumi sio jambo zuri Mshana Jr

View: https://vm.tiktok.com/ZSgfEpsTB/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
 
View: https://vm.tiktok.com/ZSgfEpsTB/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok

Unaenda kuniletea clips za wasemaji wa Tiktok? Huyu ni mjinga na haelewi. Mtu yoyote mwenye vifaa hata simu tu anaweza akajirekodi na kuweka video tiktok! Hata kama ni mjinga.

Huyu hata Dini yake haijui na ndio umemfanya kuwa ni hoja yako?

Yaani kuna upotoshaji dhidi ya hilo tukio na upotoshaji huo umeenea na kuna baadhi ya Waislam wameingia kichwa kichwa katika huo upotoshaji tena wengine wakisukumwa na chuki tu dhidi ya Saudi Arabia na wengine wakiwa hawajui masikini, kwamba huo upotoshaji ndio umekuwa ukweli?

Wewe kubali tu kuwa umesambaza uongo na upotoshaji acha kutapatapa. Na sijui nia yako ilikuwa ni nini lakini umesambaza uongo.

Huyo Zaid wa Mitandaoni ambaye anaongea Dini bila Elimu ana chuki tu dhidi ya Saudi Arabia nae kakurupukia huo upotoshaji.

Kuna watu ikitoka taarifa ya uongo dhidi ya Saudia kwa sababu ya chuki kali waliyonayo dhidi ya Saudia wao wala hawajali uadilifu na kuchunguza ukweli ilimradi hawaipendi Saudia basi kila taarifa ya uongo dhidi ya Saudia wataichukua.

Kuna watu katika Waislam kwa sababu za Kiitikadi, kama vile Masufi na Makhawaarij hawaipendi Saudi Arabia na hili wewe hulielewi.

Na kuna makafiri wa kishia nao hawaipendi kabisa Saudi Arabia.

Halafu kuna makafiri wengine katika wakristo, mayahudi, wahindu, atheists na wengineo ambao obviously hawatoipenda Saudi Arabia kwa sababu hawaupendi Uislam kabisa.

Makafiri wakiungana na Waislam wasioipenda Saudi Arabia kwa sababu ya chuki, husda na ujinga, wakaikandia Saudia na baadhi yao wakawa sio waadilifu ndio unakuta wanasambaza uongo wanaozushiwa Saudi Arabia.

Huyo Zaid amche Mola wake, ninamuomba Allah Atuongoze sisi na yeye katika Njia iliyonyooka, Allahumma Aamiin.
 
Unaenda kuniletea clips za wasemaji wa Tiktok? Huyu ni mjinga na haelewi. Mtu yoyote mwenye vifaa hata simu tu anaweza akajirekodi na kuweka video tiktok! Hata kama ni mjinga.

Huyu hata Dini yake haijui na ndio umemfanya hoja yako?

Yaani kuna upotoshaji dhidi ya hilo tukio na upotoshaji huo umeenea na kuna baadhi ya Waislam wameingia kichwa kichwa katika huo upotoshaji tena wengine wakisukumwa na chuki tu dhidi ya Saudi Arabia na wengine wakiwa hawajui masikini, kwamba huo upotoshaji ndio umekuwa ukweli?

Wewe kubali tu kuwa umesambaza uongo na upotoshaji acha kutapatapa. Na sijui nia yako ilikuwa ni nini lakini umesambaza uongo.

Huyo Zaid wa Mitandaoni ambaye anaongea Dini bila Elimu ana chuki tu dhidi ya Saudi Arabia nae kakurupukia huo upotoshaji.

Kuna watu ikitoka taarifa ya uongo dhidi ya Saudia kwa sababu ya chuki kali waliyonayo dhidi ya Saudia wao wala hawajali uadilifu na kuchunguza ukweli ilimradi hawaipendi Saudia basi kila taarifa ya uongo dhidi ya Saudia wataichukua.

Kuna watu katika Waislam kwa sababu za Kiitikadi, kama vile Masufi na Makhawaarij hawaipendi Saudi Arabia na hili wewe hulielewi.

Na kuna makafiri wa kishia nao hawaipendi kabisa Saudi Arabia.

Halafu kuna makafiri wengine katika wakristo, mayahudi, wahindu, atheists na wengineo ambao obviously hawatoipenda Saudi Arabia kwa sababu hawaupendi Uislam kabisa.

Makafiri wakiungana na Waislam wasioipenda Saudi Arabia kwa sababu ya chuki, husda na ujinga, na baadhi yao wakawa sio waadilifu ndio watasambaza uongo waliozushiwa Saudi Arabia.

Huyo Zaid amche Mola wake, ninamuomba Allah Atuongoze visit na yeye katika Njia iliyonyooka, Allahumma Aamiin.

Halafu Mshana Jr hata kufikiria tu haufikirii!! Yaani mtu ahukumiwe kifo kwa kumbusu mkewe katika paji la uso? Wewe hilo tu halikukufanya uwe curious kutafuta zaidi taarifa sahihi kutoka vyanzo rasmi?

Pale Msikiti Mtukufu wa Makkah kuna wanandoa wamepiga picha wamebusiana na wanapost zipo, mbona hawajauawa?

Hata ule uzushi kuwa wale WaBangladesh wawili wameuawa kwa sababu eti jamaa alibusu tumbo la mkewe mjamzito, waliouzusha uzushi ule wanatumia picha ya wanandoa kutoka Misri, wanandoa wale waliipiga picha ile mwaka 2024 pale Msikiti Mtukufu , katika hiyo picha mume akibusu tumbo la mke. Na wale wanandoa wa Kimisri wapo hai mpaka leo. Why hawajafanywa chochote?

Wewe hujiulizi wale wanandoa wote hawajauawa au kuguswa, kwanini wale waBangladesh wamehukumiwa kifo?

Why hujiulizi hilo?

Wale WaBangladesh wawili wala hawakuwa wanandoa. Na walihukumiwa kifo kwa kufanya machafu katika Msikiti Mtukufu zaidi.

Ta'azir imetumika katika kuwahukumu kifo kwa sababu ya uzito wa kitendo chao kufanyika kwake katika Msikiti Mtukufu zaidi kuliko yote.

Msikiti ambao Swala moja ndani yake ni bora kuliko Swala 100,000 (laki moja) kwenye Msikiti mwengine wowote.

Msikiti ambao imekatazwa kukata mti, mimea, nyasi na hata jani halikatwi (imekatazwa), wala mnyama wala ndege imekatazwa kumuwinda, imekatazwa kumuua, na imekatazwa hata kumtishia. Yaani imekatazwa hata kumtishia tu mnyama au ndege katika Msikiti Mtukufu wa Makkah!

Na hiyo ni kwa Msikiti na Eneo lote la Makkah ambalo liko ndani ya Mipaka ya Haram (yaani Sanctuary, Eneo Tukufu, linalolindwa na lina Sheria zake maalum na makatazo maalum humo) na Msikiti uko ndani ya Eneo hilo Tukufu.

Imekatazwa asiye Muislam kuingia humo.

Imekatazwa kuokota kitu kisicho chako (isipokuwa kwa haja ya kukitangaza na kumtafuta mmiliki halali).

Imekatazwa kupigana (isipokuwa strictly kwa self defence).

Imekatazwa kuingia na kutembea na silaha (except strictly kukiwa na haja hiyo kama vile vyombo vya ulinzi na usalama wanaohusika na usalama).

Imekatazwa kukata miti, mimea, majani na nyasi zinazojiotea (isipokuwa mmea wa Idh-khir).

Imekatazwa kuua, kuwinda au hata kumtishia mnyama au ndege.

Unadhani kufanya machafu ndani yake uzito wake utakuwaje?

Hivyo Ta'azir imetumika kuwahukumu kifo sio kwa kufanya machafu tu, bali kufanya machafu katika Msikiti Mtukufu wa Makkah.

Allah Awasamehe Madhambi yao na Awarehemu wale vijana wawili wa Bangladesh., walikuwa ni Waislam. Ila Matukufu ya Kiislam yana kisasi chake yanapovunjiwa heshima, na Saudi Arabia imefanya Haki katika Hukumu ile na Allah Awalipe Kheri Saudi Arabia kwa hilo.
 
Saudi Arabia ishamtekelezea Adhabu ya kifo mpaka raia wa Marekani mwaka 2023, ambaye alimuua Baba yake mzazi.

Sijasema hivi kuitweza Bangladesh wala kuidunisha, Bangladesh ni Nchi ya Kiislam na ninamuomba Allah Aibariki na Awaongoze na kuwahifadhi watawala wake na watu wake, Aamiin.

Nimetoa mfano wa Marekani kujibu hoja yako ya Bifu, kwa sababu Marekani kwa baadhi yenu mnaiogopa mno.

Saudi Arabia mpaka watu kutoka Familia ya Kifalme washawahi kutekelezewa Adhabu ya Kifo. Mwaka 2016 kuna mwanamfalme alitekelezewa adhabu ya kifo kwa sababu ya kumuua raia mwengine wa Saudi Arabia.

So sio kwa sababu labda walikuwa ni Wabangladesh. Kuna Msaudia alihukumiwa kifo kwa kumuua mfanyakazi wake wa ndani kutoka Bangladesh.

Hiyo ndio Shari'ah.

Ninamshukuru Allah kwa Neema ya Uislam na Sunnah.

Allah Aibariki Saudi Arabia na kuiongezea Neema, Aamiin.

View: https://vm.tiktok.com/ZSg9poE3H/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
 
Back
Top Bottom