#COVID19 Hong Kong yahofia Wimbi la Tano la Corona. Yapiga marufuku ndege kutoka Nchi 8

#COVID19 Hong Kong yahofia Wimbi la Tano la Corona. Yapiga marufuku ndege kutoka Nchi 8

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Hong Kong imetangaza marufuku ya wiki mbili ya Ndege kutoka Nchi 8 zikiwemo Canada, Marekani, India na Ufaransa kutokana na hofu ya Wimbi la Tano la COVID19 katika Jiji hilo

Mbali na marufuku hiyo, Mamlaka zimetangaza kufungwa kwa sehemu za kuogelea, baa, klabu, makumbusho na vituo vya michezo ili kudhibiti maambukizi

======

Hong Kong announced a two-week ban on incoming flights from eight countries on Wednesday and tightened local COVID-19 restrictions as authorities feared a fifth wave of coronavirus in the city.

The latest restrictions were announced as health authorities scoured the city for the contacts of a COVID-19 patient, some of whom had been aboard a Royal Caribbean (RCL.N) ship that was ordered to cut short its "cruise to nowhere" and return to port.

Incoming flights from Australia, Canada, France, India, Pakistan, Philippines, Britain and the United States, including interchanges, would be banned from Jan.8 to Jan 21, Hong Kong leader Carrie Lam told reporters on Wednesday.

Lam said the government would ban indoor dining after 6.00 pm from Friday, and close swimming pools, sports centres, bars and clubs, museums, and other venues for at least two weeks. Future cruise journeys would be cancelled.

Source: Reuters
 
Wanajitambuwa hao,,,,hebu fuatilia na bara letu kama utakutana na nchi iliyopiga marufuku ndege kutoka nchi hizo?
 
Back
Top Bottom