Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Kesho ni ijumaa, ni siku ya kazi lakini ni weekend, ila kubwa zaidi ni uwanja wa Mkapa kujaa siku ya ijumaa.
Hii imeonyesha kuwa mnyama ana determination sio ya kawaida, sasa kazi imebaki dimbani.
Wale waarabu hawanipi wasiwasi kabisa kwa sababu kwa sasa Simba ina wachezaji wenye quality ya juu kama walivyo hao Al Ahly ndio maana walimchukua Micquisone.
Hata kesho nna uhakika asilimia 100 Kibu Dennis anakwenda kupata soko nje ya nchi, hatobaki hapa bongo.
Wazungu wanapenda sana michezaji aina ya Kibu Dennis, ina nguvu halafu inaupiga mwingi, mfano ni Romelo Lukaku.
Binadamu yoyote hawezi kuizuia Simba isishinde kesho, cijui Percy Tai sijui nini haipo hiyo kesho.