Hongera Ahmed Ally, kuujaza uwanja wa Mkapa siku ya kazi ijumaa sio jambo dogo

Hongera Ahmed Ally, kuujaza uwanja wa Mkapa siku ya kazi ijumaa sio jambo dogo

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Kesho ni ijumaa, ni siku ya kazi lakini ni weekend, ila kubwa zaidi ni uwanja wa Mkapa kujaa siku ya ijumaa.

Hii imeonyesha kuwa mnyama ana determination sio ya kawaida, sasa kazi imebaki dimbani.

Wale waarabu hawanipi wasiwasi kabisa kwa sababu kwa sasa Simba ina wachezaji wenye quality ya juu kama walivyo hao Al Ahly ndio maana walimchukua Micquisone.

Hata kesho nna uhakika asilimia 100 Kibu Dennis anakwenda kupata soko nje ya nchi, hatobaki hapa bongo.

Wazungu wanapenda sana michezaji aina ya Kibu Dennis, ina nguvu halafu inaupiga mwingi, mfano ni Romelo Lukaku.

Binadamu yoyote hawezi kuizuia Simba isishinde kesho, cijui Percy Tai sijui nini haipo hiyo kesho.

1697764831970.jpeg

NATOA Lineup yangu mapema.

1. Aishi Manura.
2. SHOMARI kapombe.
3.Mohamed Hussein.
4. Che fondal Malone.
5. Henoc Inonga.
6. Sadio Kanute.
7. KIBU Denis.
8.Mzamiru Yassin.
9. Jean Baleke.
10. CLOTUS Chama.
11. Saido Ntibazonkiza.

Wachezaji Muhimu WA kuingia.
1. Fabrice NGOMA.
2. Willy Onana.
3. John Boko.
4. Luis Miquisson.
5. Moses phili.
 
Wakati hayo Yanatokea hatujasikia

Mtu Kanunua Tiketi 1000 za Kugawa bure..!

Ama hakika Unyama ni Mwingi....
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Kesho ni ijumaa, ni siku ya kazi lakini ni weekend, ila kubwa zaidi ni uwanja wa mkapa kujaa siku ya ijumaa.

Hii imeonyesha kuwa mnyama ana determination sio ya kawaida, sasa kazi imebaki dimbani.

Wale waarabu hawanipi wasiwasi kabisa kwa sababu kwa sasa Simba ina wachezaji wenye quality ya juu kama walivyo hao Al Ahly ndio maana walimchukua Micquisone.

Hata kesho nna uhakika asilimia 100 Kibu Dennis anakwenda kupata soko nje ya nchi, hatobaki hapa bongo.

Wazungu wanapenda sana michezaji aina ya Kibu Dennis, ina nguvu halafu inaupiga mwingi, mfano ni Romelo Lukaku.

Binadamu yoyote hawezi kuizuia Simba isishinde kesho, cijui Percy Tai sijui nini haipo hiyo kesho.
Mimi sitaki kuwapa moyo kinafiki maana kitakachowakuta kesho nishakijua
 
Back
Top Bottom