Hongera Ali kiba kwa kuwaunga mkono Gsm foundationtz!

Oyooooooo that's my Ali Kiba.
Nani kasema Kiba hana pesa?
Afadhali umewafunga midomo,kelele zilikuwa nyingi.

Ila nikujuavyo...hunaga makuu.
Naamini umetoa kwa moyo mkunjufu kabisa,na sio mashindano.
Ubarikiwe.
 
Kwani hakuna charity ingine hadi afate alipotoa Diamond? Huyu ka vile kapewa na mtu apeleke nae azungumziwe, labda kakopa za Jokate.

Geza geza hainipi kuelewa, kuna jambo.
 
Ubishi wakizaman kinoma, mwenzie katoa 20M yeye katoa 21M angetoa hata 25M ila hapo ameonekana hana nia ya dhati ila kaenda kumjibu mwenzie tu
Ajibu na uchangiaji madawati basii
 
Oyooooooo that's my Ali Kiba.
Nani kasema Kiba hana pesa?
Afadhali umewafunga midomo,kelele zilikuwa nyingi.

Ila nikujuavyo...hunaga makuu.
Naamini umetoa kwa moyo mkunjufu kabisa,na sio mashindano.
Ubarikiwe.


Hivi hujajua michezo ya hao GSM?, Hizo pesa ni zao na wanachofanya ni kuwatumia Wasanii wakubwa kuonyesha wamechangia hiyo Foundation yao, we subiri list itakuwa ndefu sana, maana bado wacheza movie na viongozi wa kisiasa
Pole kwa hili timu Kiba, ukiangalia hiyo picha unaona kabisa Kiba hana confo kabisa na anaonekana kabisa yupo kwenye maigizo
 
Oyooooooo that's my Ali Kiba.
Nani kasema Kiba hana pesa?
Afadhali umewafunga midomo,kelele zilikuwa nyingi.

Ila nikujuavyo...hunaga makuu.
Naamini umetoa kwa moyo mkunjufu kabisa,na sio mashindano.
Ubarikiwe.
Nifah Mmasai wa Arusha,nilijua lazima nikukute kwenye uzi huu. Hahahhaa! Jamaa ako angetoa hata 25 au zaidi ya hapo. Hapo kafanya kulazimisha ili amzidi Chibu. Ila anyway kafanya Jambo jema. Mungu ambariki na ningependa ushindani huu uendelee kwenye mambo mengine ya kijamii.
 
Proudly Maasai [emoji108][emoji108]

Allahuma Aamin,Allah amzidishie Ali Kiba wangu.
 
Duuuuuh hizi story za vijiweni sasa mkuu.
Tutaamini vipi?
 
Kweli hizi mambo hukuzwa na washabiki, alipotoa Diamond hamkusema km hao jamaa wanaigiza ili kuwavutia wengine, na endapo km kiba angetoa pungufu ya ile mil 20 mngekuja kusema kuwa jamaa hana mbavu za kujilingaisha na mondi, angetoa ile ile 20 ingekuwa ohh kaiga ss kawapa na yakutolea bado maneno milioni, kwenye mambo ya maana km haya ni heri kumpongeza mtu kwa utu wake, leo watu wamekuwa wazee wa body language kuwa jamaa kakaa kimaigizo ila kwa msanii wetu mpendwa body language ilikuwa haina ttzo, tuacheni uswahili issue ni kwamba katoa na kasave maisha ya watanzania wenzie. Hongera Diamond hongera Alikiba
 
watu naona povu linawatoka ila hamjui kuwa alikiba ni mara ya pili kutoa.Mara ya kwanza kipindi cha ramadhani alitoa mchango ila hapendi sifa,hii ni mara ya pili kama una akili timamu utajua GSM ndio walikuwa wa kwanza kupost mchango wa alikiba kabla ya yeye kufanya hvyo alikiba alipost usikukabisa wakt alitoa asubuhi na GSM walipost saa 6:30:49mchana,alf GSM waliweka na kiasi ambacho alikiba alichangia kuwa ni sh 21000000 wakati yeye hajapost kiasi chochote kila alichotoa.Kama hujui mondi alipost hadi risiti .
MYTAKE tucipende kuwashindanisha hawa watu ni watu wawil tofauti 1)kiba hapendi sifa ya kuweka kila jambo lake wazi wkt mondi kila kitu kipo wazi 7bu aboost.
2)kiba anafanya kazi bila kelele wkt mondi kelele nyingi.
3)kiba kachukua tuzo lkn hajapost hata ktk official accnt zake wakt mondi watu wangeenda kumpokea uwanja wa ndege kumshangilia.
3)kiba alifika kimataifa kabla ya msanii yyte bongo kimziki lkn hakujikweza na hilo sasa hv analithitisha kwa kufanya kwa mara zingine wkt mond kilo pande anaongea .
4)kiba anafanya vzr kimataifa mfn#aje 02@trace-urban,mtv inakimbiza,soundcity, ila yupo kimya.
5)kiba mwanaume mondi mvulana
 
Kapanda dau la milion moja,duh!! Akirudi tena na milion 50, je kiba atapanda? Mtazamo tu
 
We ni kidoti nini maana duh!
 
Oyooooooo that's my Ali Kiba.
Nani kasema Kiba hana pesa?
Afadhali umewafunga midomo,kelele zilikuwa nyingi.

Ila nikujuavyo...hunaga makuu.
Naamini umetoa kwa moyo mkunjufu kabisa,na sio mashindano.
Ubarikiwe.
Kwani hakuna charity ingine hadi afate alipotoa Diamond? Huyu ka vile kapewa na mtu apeleke nae azungumziwe, labda kakopa za Jokate.

Geza geza hainipi kuelewa, kuna jambo.
 
Mond hakupost risti leta picha ya rist yeye pia alipost picha akitoa mchango hakutaja kiasi gsm ndo walitaja wao kwny page usilo lijua n ucku wa giza endelea
Sasa wale wavuta bangi aliowapost wanashangilia tuzo kwny acc ya insta n wakina nani
N zile tuzo sio kubwa
Diamond alikuwa nominated km best upcoming act akiwa ana hit n mbagala tuzo akachukua mo chedda kiba lini alipata nomination mtv
Aje ipo nafac ya pili trace kwa countdown ipi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…