Stella Njimbwi
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 882
- 575
Acha izo mashabiki mkiacha kuongea na ao awataleta impact yoyote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] kweli kabisaKuna watu vigodoro vimewaharibu kabisa
Mamako kanipa mmNa nyie na viteam uchwara vyenu hv.. Kwahiyo mnataka kiba asitoe? Kisa unayempenda katoa.. kha.. Acheni ushabiki maandazi bana
Oyooooooo that's my Ali Kiba.
Nani kasema Kiba hana pesa?
Afadhali umewafunga midomo,kelele zilikuwa nyingi.
Ila nikujuavyo...hunaga makuu.
Naamini umetoa kwa moyo mkunjufu kabisa,na sio mashindano.
Ubarikiwe.
Nifah Mmasai wa Arusha,nilijua lazima nikukute kwenye uzi huu. Hahahhaa! Jamaa ako angetoa hata 25 au zaidi ya hapo. Hapo kafanya kulazimisha ili amzidi Chibu. Ila anyway kafanya Jambo jema. Mungu ambariki na ningependa ushindani huu uendelee kwenye mambo mengine ya kijamii.Oyooooooo that's my Ali Kiba.
Nani kasema Kiba hana pesa?
Afadhali umewafunga midomo,kelele zilikuwa nyingi.
Ila nikujuavyo...hunaga makuu.
Naamini umetoa kwa moyo mkunjufu kabisa,na sio mashindano.
Ubarikiwe.
Proudly Maasai [emoji108][emoji108]Nifah Mmasai wa Arusha,nilijua lazima nikukute kwenye uzi huu. Hahahhaa! Jamaa ako angetoa hata 25 au zaidi ya hapo. Hapo kafanya kulazimisha ili amzidi Chibu. Ila anyway kafanya Jambo jema. Mungu ambariki na ningependa ushindani huu uendelee kwenye mambo mengine ya kijamii.
Duuuuuh hizi story za vijiweni sasa mkuu.Hivi hujajua michezo ya hao GSM?, Hizo pesa ni zao na wanachofanya ni kuwatumia Wasanii wakubwa kuonyesha wamechangia hiyo Foundation yao, we subiri list itakuwa ndefu sana, maana bado wacheza movie na viongozi wa kisiasa
Pole kwa hili timu Kiba, ukiangalia hiyo picha unaona kabisa Kiba hana confo kabisa na anaonekana kabisa yupo kwenye maigizo
We ni kidoti nini maana duh!watu naona povu linawatoka ila hamjui kuwa alikiba ni mara ya pili kutoa.Mara ya kwanza kipindi cha ramadhani alitoa mchango ila hapendi sifa,hii ni mara ya pili kama una akili timamu utajua GSM ndio walikuwa wa kwanza kupost mchango wa alikiba kabla ya yeye kufanya hvyo alikiba alipost usikukabisa wakt alitoa asubuhi na GSM walipost saa 6:30:49mchana,alf GSM waliweka na kiasi ambacho alikiba alichangia kuwa ni sh 21000000 wakati yeye hajapost kiasi chochote kila alichotoa.Kama hujui mondi alipost hadi risiti .
MYTAKE tucipende kuwashindanisha hawa watu ni watu wawil tofauti 1)kiba hapendi sifa ya kuweka kila jambo lake wazi wkt mondi kila kitu kipo wazi 7bu aboost.
2)kiba anafanya kazi bila kelele wkt mondi kelele nyingi.
3)kiba kachukua tuzo lkn hajapost hata ktk official accnt zake wakt mondi watu wangeenda kumpokea uwanja wa ndege kumshangilia.
3)kiba alifika kimataifa kabla ya msanii yyte bongo kimziki lkn hakujikweza na hilo sasa hv analithitisha kwa kufanya kwa mara zingine wkt mond kilo pande anaongea .
4)kiba anafanya vzr kimataifa mfn#aje 02@trace-urban,mtv inakimbiza,soundcity, ila yupo kimya.
5)kiba mwanaume mondi mvulana
Oyooooooo that's my Ali Kiba.
Nani kasema Kiba hana pesa?
Afadhali umewafunga midomo,kelele zilikuwa nyingi.
Ila nikujuavyo...hunaga makuu.
Naamini umetoa kwa moyo mkunjufu kabisa,na sio mashindano.
Ubarikiwe.
Kwani hakuna charity ingine hadi afate alipotoa Diamond? Huyu ka vile kapewa na mtu apeleke nae azungumziwe, labda kakopa za Jokate.
Geza geza hainipi kuelewa, kuna jambo.
Unataka akitoa akutangazie?Alikuwa wapi sikuzote? Na uliwah muona lini na wap akitoa?
Mond hakupost risti leta picha ya rist yeye pia alipost picha akitoa mchango hakutaja kiasi gsm ndo walitaja wao kwny page usilo lijua n ucku wa giza endeleawatu naona povu linawatoka ila hamjui kuwa alikiba ni mara ya pili kutoa.Mara ya kwanza kipindi cha ramadhani alitoa mchango ila hapendi sifa,hii ni mara ya pili kama una akili timamu utajua GSM ndio walikuwa wa kwanza kupost mchango wa alikiba kabla ya yeye kufanya hvyo alikiba alipost usikukabisa wakt alitoa asubuhi na GSM walipost saa 6:30:49mchana,alf GSM waliweka na kiasi ambacho alikiba alichangia kuwa ni sh 21000000 wakati yeye hajapost kiasi chochote kila alichotoa.Kama hujui mondi alipost hadi risiti .
MYTAKE tucipende kuwashindanisha hawa watu ni watu wawil tofauti 1)kiba hapendi sifa ya kuweka kila jambo lake wazi wkt mondi kila kitu kipo wazi 7bu aboost.
2)kiba anafanya kazi bila kelele wkt mondi kelele nyingi.
3)kiba kachukua tuzo lkn hajapost hata ktk official accnt zake wakt mondi watu wangeenda kumpokea uwanja wa ndege kumshangilia.
3)kiba alifika kimataifa kabla ya msanii yyte bongo kimziki lkn hakujikweza na hilo sasa hv analithitisha kwa kufanya kwa mara zingine wkt mond kilo pande anaongea .
4)kiba anafanya vzr kimataifa mfn#aje 02@trace-urban,mtv inakimbiza,soundcity, ila yupo kimya.
5)kiba mwanaume mondi mvulana
Nyie mashabiki mavi mnaharibu mziki wa tz.Alikuwa wapi sikuzote? Na uliwah muona lini na wap akitoa?