Diamond m20Oyooooooo that's my Ali Kiba.
Nani kasema Kiba hana pesa?
Afadhali umewafunga midomo,kelele zilikuwa nyingi.
Ila nikujuavyo...hunaga makuu.
Naamini umetoa kwa moyo mkunjufu kabisa,na sio mashindano.
Ubarikiwe.
Kipepeo alitoa clouds walipost twitter ila mwenywe alipiga kimya.That's good game of competition..... But naomba alipe pia kwa kutoa madawati kwa makonda, then kuna ile kipepeo campaign for benadetta sikumwona mwenzake alirudisha for 5 mil..... Giving back to community is habit for mond
Lete huo ushahidi.....alitoa bei gani....Kipepeo alitoa clouds walipost twitter ila mwenywe alipiga kimya.
Hakuna haya ya Madawati ikiwa Walimu hamna
Aiseeee itabidi uwe ndugu yangu wa hiyari,no way.watu naona povu linawatoka ila hamjui kuwa alikiba ni mara ya pili kutoa.Mara ya kwanza kipindi cha ramadhani alitoa mchango ila hapendi sifa,hii ni mara ya pili kama una akili timamu utajua GSM ndio walikuwa wa kwanza kupost mchango wa alikiba kabla ya yeye kufanya hvyo alikiba alipost usikukabisa wakt alitoa asubuhi na GSM walipost saa 6:30:49mchana,alf GSM waliweka na kiasi ambacho alikiba alichangia kuwa ni sh 21000000 wakati yeye hajapost kiasi chochote kila alichotoa.Kama hujui mondi alipost hadi risiti .
MYTAKE tucipende kuwashindanisha hawa watu ni watu wawil tofauti 1)kiba hapendi sifa ya kuweka kila jambo lake wazi wkt mondi kila kitu kipo wazi 7bu aboost.
2)kiba anafanya kazi bila kelele wkt mondi kelele nyingi.
3)kiba kachukua tuzo lkn hajapost hata ktk official accnt zake wakt mondi watu wangeenda kumpokea uwanja wa ndege kumshangilia.
3)kiba alifika kimataifa kabla ya msanii yyte bongo kimziki lkn hakujikweza na hilo sasa hv analithitisha kwa kufanya kwa mara zingine wkt mond kilo pande anaongea .
4)kiba anafanya vzr kimataifa mfn#aje 02@trace-urban,mtv inakimbiza,soundcity, ila yupo kimya.
5)kiba mwanaume mondi mvulana
Kiba ndoanashindanaOyooooooo that's my Ali Kiba.
Nani kasema Kiba hana pesa?
Afadhali umewafunga midomo,kelele zilikuwa nyingi.
Ila nikujuavyo...hunaga makuu.
Naamini umetoa kwa moyo mkunjufu kabisa,na sio mashindano.
Ubarikiwe.
Alitoa mil 20Diamond alitoa ngapi vile? Naona ligi inaendelea kwa style nyingine..
Nitakuja.njoo pm tujenge undugu bc nifah
Mkuu tuko pamoja GSM sio wa kichangiwa pesa Na mtu yoyote yule.Hivi hujajua michezo ya hao GSM?, Hizo pesa ni zao na wanachofanya ni kuwatumia Wasanii wakubwa kuonyesha wamechangia hiyo Foundation yao, we subiri list itakuwa ndefu sana, maana bado wacheza movie na viongozi wa kisiasa
Pole kwa hili timu Kiba, ukiangalia hiyo picha unaona kabisa Kiba hana confo kabisa na anaonekana kabisa yupo kwenye maigizo
sasa hapo pole ya nini, halafu haya maneno kwa sababu ni kiba tu hakuna loloteHivi hujajua michezo ya hao GSM?, Hizo pesa ni zao na wanachofanya ni kuwatumia Wasanii wakubwa kuonyesha wamechangia hiyo Foundation yao, we subiri list itakuwa ndefu sana, maana bado wacheza movie na viongozi wa kisiasa
Pole kwa hili timu Kiba, ukiangalia hiyo picha unaona kabisa Kiba hana confo kabisa na anaonekana kabisa yupo kwenye maigizo